Mume wa rafiki yangu

Hivi ni nini maana ya udhalilishaji? Yaani mwanaume akikusifia kwamba una umbo la kampeni (hii nimeipenda, nitaitumia kutongozea Uswahili kwetu), macho mazuri, lips za kufa mfu na ngozi nyororo anakuwa amekudhalilisha ?

Mmh...na wewe umekaa kichokozi chokozi. Hapo kwenye bold kuna suala la COSOTA shauri yako


Annina
 
Kwa vile umesema uko karibu kiasi na hiyo familia, unaweza kucomment juu ya quality ya uhusiano wa hiyo married couple? Napata taabu kuelewa jinsi ambavyo mwanaume anaweza kumsifia mwanamke mwingine right in front of her like that bila mkewe kukerwa...

Maybe wana uhusiano mzuri uliojaa utani kiasi kwamba kwao it is not a big deal... or maybe wana joint crusade ya kukuingiza na wewe katika uhusiano wao... :painkiller:

Kwa kadiri ya uelewa wangu, naonaona ndoa yao ipo njema kabisa, ndio maana nami nina maswali mengi. Inawezekana kabisa akawa ni mtu mwenye utani, lakini utani huo ameulekeza katika eneo moja tu...kuna mengi ya kutaniana zaidi ya muonekano wa mtu, na pia angepanua wigo wa anaowatania kwa mfano angekuwa anamtania mke wake mbele yangu kwa namna anayonitania labda ningeona kawaida - sijui. Hili la mkakati wa pamoja sikuwahi kulifikiria - inawezekana kweli?


Annina
 
Inawezekana mtu na mkewe washakubaliana wanatafuta mtu wa kufanya naye threesome.

Wee mume gani atasema mineno yote hiyo kwa mwanamke mwingine huku mke wake yuko hapo hapo?
Mkuu hiyo angle uliyopiga wewe hats off. Yaani umeangalia upande ambao hakuna mtu aliyeufikiria hadi sasa hv. au ndio thinking out of the box hyo.
 
Annina what stops u to tell him that u really dont like his attitude unless if u r enjoying the lil attention... just be honest with him...or next time try to avoid them....
 
Kwa vile umesema uko karibu kiasi na hiyo familia, unaweza kucomment juu ya quality ya uhusiano wa hiyo married couple? Napata taabu kuelewa jinsi ambavyo mwanaume anaweza kumsifia mwanamke mwingine right in front of her like that bila mkewe kukerwa...

Maybe wana uhusiano mzuri uliojaa utani kiasi kwamba kwao it is not a big deal... or maybe wana joint crusade ya kukuingiza na wewe katika uhusiano wao... :painkiller:

hapo na mie ndipo panaponipa tabu, mana ingekuwa ni mie mhhh cjui!
 
Hii sio namna ya huyu dada kujitangaza rasilimali alizonazo mara macho ya kuhamasisha, mara ngozi laini, mara ukimuhug unashtuka... biashara matangazo kwa kweli
 
Huyo ukimuendekeza utakuingia mpaka anakotaka yeye halafu ndo utaona mambo! Jaribu kumuepuka na kama una boyfriend jaribu kuwa nae mara zote mnapokutana na huyo jamaa ili ajue kwamba unaye anayekuridhisha na astailie kukupamba kwa maneno matamu matamu na wala siyo yeye
 
Kuathirika kwa mke na watoto yatakuwa ni matokeo ya matendo ya huyo jamaa. Vile vile nilitegemea na wewe mwenyewe ungejiona mwathirika (kwa sababu umesema unadhalilishwa) lakini sidhani kama unaliona hilo na kama unaliona basi unalifumbia macho. You can't be serious sister girl.
It seems Sister to some extent attention (sio udhalilishaji kama,kama ingekuwa ungeshachukua hatua za kisheria) ya jamaa ime draw attention yako pia..na ukiendelea kusuasua kutoa maamuzi sahihi walah utakuwa chakla ya mshikaj very sooooon.
Unajua taktics za ma player???
 
mume nae akaja akafanya kama mke wake hii ni mara ya kwanza kwa yeye kunihug, akashtuka kama kapigwa shoti na akasema nina ngozi laini hajapata kuona!
Fataki wako wengi

mke wake pia amekosa amani.
Inaonyesha anamnyanyasa sana mkewe to the extent kwamba hana say mbele yake.

All in all ni tabia mbaya na amewadhalilisha wanaume wote waliooa
 
Kizuri kula na nduguyo, kibaya mtupie mbwa! Huyo mwanaume na mkewe lao moja (lazima watakuwa wazungu au la basi wana tabia za Kizungu)....Na wazungu walivyo hamnazo usikute wanataka wakuingize mtegoni ipigwe ''threesome'' ya kufa mtu!

Tafadhali tungependa kupata feeback endapo uzalendo utakushinda na kujikuta umenasa kwenye mtego wao...
 
Fataki wako wengi

Inaonyesha anamnyanyasa sana mkewe to the extent kwamba hana say mbele yake.

All in all ni tabia mbaya na amewadhalilisha wanaume wote waliooa

Hapo kwenye bluu jaribu kujiuliza mara mbili mbili, au la basi futa usemi wako....Wazee wa infidelity wako wengi sana humu! Shauri yako!
 
Back
Top Bottom