Mume wa mtu huyu mbona haniachi jamani?

Mume wa mtu huyu mbona haniachi jamani?

Kaanaye mpk hapo utakapopata wako.utamwambie mambo ya ndoa atakuelewa
 
Wewe jipange uzae naye, kuwa na uhakika na kipato chako na uhakika wa kuendesha familia yako, hayo mengine yatakuja tu, na yasipokuja inshallah maisha yaendelee.
 
Tafuta marioo mlipe hela halafu tegesha fumanizi huyo mume wa mtu akufumanie ndani kwako!
Ila umeniuziiiiiiiii kutumika miaka 6 kama spare tyre lols!
K mileage si imeenda sana my siss?
 
Mtafute mkewe umwambie kama ulivyoandika hapa, hakikisha naye yupo!!!!

Hutoondoka bila ya suluhisho.......................wahi sasa wateja ni wengi!!!!!!!

Kwa hisani ya watu wa JF
 
Tafuta marioo mlipe hela halafu tegesha fumanizi huyo mume wa mtu akufumanie ndani kwako!
Ila umeniuziiiiiiiii kutumika miaka 6 kama spare tyre lols!
K mileage si imeenda sana my siss?

Utamfirisha mtoto wa watu huyo marioo for no gud reason!!!!!!!!
Mji umechafuka huu for six years then umpeleke kifaranga huyo tena ndani kwa demu!!!!!!

Ajinunulie KY huyo marioooo................
 
Utamfirisha mtoto wa watu huyo marioo for no gud reason!!!!!!!!
Mji umechafuka huu for six years then umpeleke kifaranga huyo tena ndani kwa demu!!!!!!

Ajinunulie KY huyo marioooo................

Aaaaa wapi! Labda kama jamaa kamchoka mkewe! Lakini anaonyesha anamhara Nyumba kubwa kiasi kwamba miaka 6 kachepuka bila kugundulika!
Huyo ni wa kupanga fumanizi afirwe yeye!
 
mama jitoe tu mapema if u want your own family... tell him kwamba for now u need to focus on your life na uwe na mpenzi ambae utaingia nae kwenye ndoa kama kweli anakupendi he will give u a space na we upunguze ukaribu nae that all
We, koma acha kuharibu ugali wa wenzako. Mwache aanzishe familia na huyo kidume. Bado kidogo kitajaa
 
We, koma acha kuharibu ugali wa wenzako. Mwache aanzishe familia na huyo kidume. Bado kidogo kitajaa

Ugali upi? Angekuwa anautaka asingehitaji ushauri. Wacha kumpotosha mwenzako au unapenda aendelee kuishi hayo maisha ya kujiiba iba. Mwache atafuta wa future kama ni familia ndani ya miaka 6 si angeshakuwa nayo.
 
Kitendo cha kuishi mika ya kuibaiba 6 ameshazoea. Kuanza sasa maisha ya kubanana hataweza. Atakuja kupata shida baadaye. Mimi nadhani hata hizo mnazoita ndoa wakati kukicha kutafuta pesa kwa waume za wenzenu ni mbaya zaidi ya kujiiba. Nadhani huyu ni bora zaidi kuliko (BOFYA). Namshauri atulizane naye kwani hata kama ni uzinzi alishazini kwa sana.
 
Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpk sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single, amekuwa akinisaidia sana katka maendelea yangu mume wa mtu huyu ndie mshaur wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne nawaza siwez kufika naye mbali tayar yy ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yang tutaishi maisha haya mpk lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpk leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpk lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye

Jf ni mahali pa watakatifu kweli nakuambia, kama huamini cheki kila post katika hii thread yako....tuachane na hayo
whatever watu watakavokuona no one is clean, I had one kanisomesha from form five hadi mwisho wa elimu yangu
ila muda ulivofika nami nkapata mwenza nikamuweka wazi kuwa it's time nami nahitaji kuwa na maisha yangu
hakuna kilichoharibika zaidi ya kunitakia maisha mema
Huwa ni waelewa sana, tafuta wako na umuweke wazi na mahusiano yaishie hapo
atakumiss teh chezeiya mechi ya mchangani 6years nini.....
 
Aaaaa wapi! Labda kama jamaa kamchoka mkewe! Lakini anaonyesha anamhara Nyumba kubwa kiasi kwamba miaka 6 kachepuka bila kugundulika!
Huyo ni wa kupanga fumanizi afirwe yeye!

Unacheza wewee miaka sita maana yake ni ndoa hiyo kimjini halafu leo azingue eti kwa fumanizi!!!!!!! Cyan6 my dear mwanaume wa ku risk familia na kila kitu kwa miaka sita ujue sio mjinga wa mchana na usiku huyo!!!!!

Kama dada ana mbavu haya na apime maji ila anatakiwa awe na pumzi kufuata mkondo huo!!!
 
Last edited by a moderator:
Kitendo cha kuishi mika ya kuibaiba 6 ameshazoea. Kuanza sasa maisha ya kubanana hataweza. Atakuja kupata shida baadaye. Mimi nadhani hata hizo mnazoita ndoa wakati kukicha kutafuta pesa kwa waume za wenzenu ni mbaya zaidi ya kujiiba. Nadhani huyu ni bora zaidi kuliko (BOFYA). Namshauri atulizane naye kwani hata kama ni uzinzi alishazini kwa sana.

Hahahahahaaaa. Waswahili wanasema akili za mwenzio changanya na zako. Sasa kazi ni kwake.
 
Wewe jipange uzae naye, kuwa na uhakika na kipato chako na uhakika wa kuendesha familia yako, hayo mengine yatakuja tu, na yasipokuja inshallah maisha yaendelee.

Oh my God ! wewee hatari !!! ushauri wako tu !! sijui umemshauri nini? maana mbele kunamajangaa na hapo alipo ni balaa...
 
Captain umenena iliyo kweli asubiri round yake kwasababu aue kwa upanga atakufa kwa upanga. Inawezekana huyo baba anajua udhaifu wako kama ni hela au chochote ambacho hata ukimpush away bado utakuwa unahitaji toka kwake.Kwanza kubali kusimama kwa miguu yako mwenyewe ili nae aone kuwa kweli humhitaji lakini sio humtaki yeye unataka hela zake
 
Back
Top Bottom