Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.
unatafuta laana wavulana wote hawa hata huku jei efu wapo ukamuibie mama mdogo mumewe?



blali maandazi wewe
 
Ungekuwa mwanangu wa kukuzaa ningekumwagia acid ili tuone kama huyo babu angekutaka. Una laana na halafu ni mwizi. Kwa nini uombe pesa ambazo hujazifanyia kazi? Kumbuka huyo akikuoa atalala na mwanao mtakayezaa pamoja na ukijua ukimuuliza atakuuliza kuwa kabla ya kukuchukua ulimwitaje wewe. Natamani kukutupie maneno mabaya ila basi tu. Ukweli ni kwamba yawezekana siyo kweli ila ulitaka kuweka uzi ili ucheck reaction yetu. Umepatia.
 
Ushasema "anakurubuni" Sasa nn unatafuta tena!??,,,,kizazi hiki hakitapita kamwe mpaka yote yatimie.
 
Uchafui ulioje huu umasikini kabisa kumbuka utakapomuondoa mwenzio na wewe utaondolewa. Mtoto bado mdogo haraka Ya nini mpaka kwenda kuharibu familia Ya binadamu mwenzio.
 
ddos attack haikanyagi tena jf kwa nyuzi kama hizi!
Mm, unamuita mume wa Mama yako mdogo na unapokea pesa toka kwake. Dunia imejaa mahasidi, binti yangu. Huyo baba mdogo si mtu mwema. Achana naye kabisa. Subiri wako yupo atakuja. Huyo anakudanganya, atakuja kukuumiza. Akili ni nywele kila mtu ana zake. Tumia akili, acha kufuata matakwa ya moyo. Be sensible do not drive yourself to distraction
 
unatafuta laana wavulana wote hawa hata huku jei efu wapo ukamuibie mama mdogo mumewe?



blali maandazi wewe
Unahangaika bureeee kutukana bila sababu mwenzio hayupo online tangu mwaka Jana halafu we unahangaika huku
 
Umekiri mwenyewe kuwa anakurubuni kwenye heading yako... what is wrong with you?
 
Back
Top Bottom