Nami nimejiuliza kama wewe
hahahahahahah una maneno khaa mbavu zangu.............huyo dada kaingiwa na pepo la ngono anasingizia anarubuniwa mara anampenda hata hajielewa kwa tamaa zake
Basi umfunze vyema katekista!
Huyu wa thread hii naona sister Evelyn Salt anamhudumia vyema!
Naona hakuna jipya wewe Fanya maamuzi kama ulivyo kubali pesa zake na kumubudirishaMimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.
Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.
Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.
Naombeni ushauri.
Red imebeba ujumbe wote uliopo kwenye green
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.
BTW, natumia JF wapsite now, hebu nisaidie ni member wa muda au kafungua ID kwa ajili hii
Unataka kuolewa au hela ?