Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

mkiambiwa wanawake ni wajinga mnakasirika! sasa hicho unataka kufanya nini.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.

ddos attack haikanyagi tena jf kwa nyuzi kama hizi!
 
wanawake mna laana hio yote ni kutaka shortcut?
leo anamuacha mama yako akuoe ww next time atakuacha ww amuoe mama yako mzazi
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.

Maelezo yako yanaonyesha tayari uko kwenye mahusiano nae kimapenzi long time. Naomba nikuite malaya, changudoa, usie na haya. hata aibu huna mpumbavu wewe! umekosa wanaume mpaka ukaolewe na baba yako? kabla hujaolewa na huyo malaya mwenzio unaonaje ukaanzia kwa babako mzazi? hujitambui, na huna ubongo wa mbele. unachowaza ni kula kulala na kupanua mapaja full stop! maana ungekuwa na akili usingefanya huo umalaya kwa babako. dhambi uliyoifanya na masikitiko ya moyoni ya mamako mdogo tayari ni laana itakayofuatana nawe daima. na utazaa mtoto wa kiume nae atakupa mimba
 
​mpo nchi tofauti?kiasi kwamba ndni ya miaka miwili mnawasiliana tu
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.

Yani wewe dada na hii nayo ni mada ya kuja kuombea ushauri?? Seriously ptuuuuu wadada wenzangu mnatia aibu saa zingine hata haya huna na kwa miaka yako inaonekana dhahiri hujapevuka kiakili kazi kupenda short cut haya mama nenda kaolewe na baba yako na watt wenu mtakaozaa wataoana wao kwa wao na usijekushangaa kabebe laana za ukoo na vizazi hadi vizazi lol eti nampenda fyuuuu hadi kichefuchefu kusoma
 
Kuwa na heshima usimuite mume wa mama mdogo sema baba mdogo
 
... kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.

Ndaga; humpendi huyu. Unapenda kuolewa. Bahati mbaya sana huyu bwana anataka akufunue marinda tu then asepe. Hakuna mwanaume mwenye akiri yake anaweza kumuacha mkewe then aoe mtoto wa dada yake na mkewe. Hayupo.
 
ni bora ukampa utamu tu na mwache aendelee na familia yake. hata kama asingekua mume wa mama mdogo bado ni vibaya sana kuwa chanzo cha familia kuvunjika. ukiolewa na wewe utaachwa hivyo tena inaweza ikawa vibaya zaidi.
 
Ndaga; humpendi huyu. Unapenda kuolewa. Bahati mbaya sana huyu bwana anataka akufunue marinda tu then asepe. Hakuna mwanaume mwenye akiri yake anaweza kumuacha mkewe then aoe mtoto wa dada yake na mkewe. Hayupo.

= akili
 
Back
Top Bottom