Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

Huwa naamini binti aliyekomaa ni yule mwenye zaidi ya miaka 27. Chini ya hapo huwa wamekomaa viungo vya uzazi ila akili bado changa
 
Kaolewe tuu mdada angalau umalizie hizi siku zilizobaki kabla Rubiru haijaigonga dunia maana hamna nyingine sasa
 
Acha kuchezea bahati wewe,nenda kaolewe Wanaume wenyewe wa siku hizi sio waoaji,utazeekea home kwenu.
 
Umeisha laana inakufuata baada ya hapo sijui utakuwa mgeni wa nani nyi ndo mnakunywaga sumu au kujinyonga nakukemea acha upumbavu utaangamia vibaya shauri yako mi sikufariji kwa hilo epuka haraka ikibidi ukiona anakusumbua mwambie ma mdogo
 
Wewe ni jipu mwaka 2013 ulikuwa na miaka 15, tayar ulikuwa unawasiliana kimahaba na baba'ko
 
"yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi" wasichana wajinga ndio hunaswa kwa usanii huu
 
Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu. (Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu)
 
Tatizo lako unapenda vya bure!! Ukiomba ela unapewa unachopenda ni pesa sio mapenz, hivi kwanini ma bint wa sasa hivi mnapoteza utu,heshima na hamjitambui..!! Kaolewe ili umrushe roho mama yako mdogo na usubiri kitakachokupata
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.
Kwani ratiba ya sapu haijatoka tuu wakuuu ur out of ur mind lady how can u do such a stupid thing nenda ubanduliwe baadae ujekulilia huku kanipa mimba na kanitekeleza
 
Wewe si umesema unampenda pia? Sasa watu wakipendana kuna ushauri wowote duniani unaoweza kuwatenganisha wawili hao?


Anatafuta support ya kumpindua mama yake mdogo! Ngoja na yeye aje apinduliwe na mtoto wake mdogo!
 
Back
Top Bottom