Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.
Tayari ni mume tena wa mama yako mdogo kisha anataka akuoe. Katika hali ya kawaida hiyo tayari ni mume wa mtu hivyo kama huna malengo ya kiolewa ndoa ya wake wengi tayari ameshappteza sifa za kuwa mume wako. Jinsi ulivyoanza kumpenda unaweza ukatumia njia hiyohiyo kiachana naye. Nadhani pia akishakuvua nguo ndiyo thamani yako itapungua maana kwake utakuwa huna jipya zaidi atahitaji muda zaidi wa kuihidimia familia yako. Mwisho kabisa, kwa akili yako napna wengi watakutumia kama njia.
 
Nilidhani hainaga ushemeji peke yake kumbe hainaga umwanangu, na ubaba mdogo :kampe kampe tena
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.
Akili kisoda,unamprndaje mtu ambae hujawahi muona!?kisa pesa tu
 
Back
Top Bottom