Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

mimi najuliza tu hivi mama mdogo wake siku akija kuzi ona sms na picha zake kwenye simu ya mmue wake itakuwaje?...mie sijui kitakacho mkuta huyu bint.

Kutembea na ndugu ni highest point of umalayaism
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.

Are you this naive ama umeandika tu kunogesha jukwaa!

baba mdogo anataka tu kukukulaga hakuna ndoa wala nini yake!!!
!
 
Olewa halafu jiandae kutongozwa na babu yako nako utaolewa tena. Kibwengo wewe acha tamaa za kipuuzi rungu limkune mama ako na wewe unalitaka tena? Nenda gereji ya akili
 
Huyu hapana. Labda mkuu wetu Mentor ndio amuombee.

Meanwhile, mi nikuombee wewe ili usirubunike.

Muombee huyu,bado mapema. Ukumbuke hawajafahamiana na bamdogo kwa hiyo unaweza kumuokoa..

Mimi nipo salama kabisa mpendwa,sihitaji maombi ila nitakuja kuchukua maji ya baraka.
 
Last edited by a moderator:
Kitu alichokichukia kwa mama yako mdogo atakichukia kwako pia ,tena kwako kutakuwa na mchanganyiko wa laana usijaribu huyo baba yako mdogo anasukumwa na tamaa akikufunua tu hana hamu na wewe tena ,usijaribu
 
Back
Top Bottom