Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

Mh! Huyu si wa kigango chako baba paroko mbona wamkimbia muumini wako!??

Meanwhile, missyrose, habari yako mpendwa?
Hahaha. Sasa Baba paroko nikichemka, si Baba Askofu unaingia bro?

Huyu Missyrose ndio yuko kwenye jurisdiction yangu.
 
Last edited by a moderator:
Mume wa mama yake mdogo sio ndugu yake. Angekuwa ndugu yake, asingemuoa mama yake mdogo.

Kwa uwazavyo wewe ndugu ni same blood tu? Pole sana hamia familia ya jogoo ukampande kila mtu
 
Naona jambo gumu kukuowa labda kama sio mama yako Mdogo tumbo moja na mama yako huyo kama vip mpe tu ale mzigo
 
Anakupenda
Ukiomba pesa anakupa
Mhh jaman ivi mbona kila Uzi Wa mapenzi utaskia pesa nampa kila akitaka yaani
Pesa imeharibu kila kitu
Sasa kupewa Vicent unaona unapendwa tena na mtu usie mjua
ukiolewa uko mamako mdogo atamwita mkwe au mume?
Acha tamaa jaman 21 years unawaza ndoa tena na mume Wa mama yako mdogo
Shame on YOU
 
Kwa uwazavyo wewe ndugu ni same blood tu? Pole sana hamia familia ya jogoo ukampande kila mtu


hahahahahahah una maneno khaa mbavu zangu.............huyo dada kaingiwa na pepo la ngono anasingizia anarubuniwa mara anampenda hata hajielewa kwa tamaa zake
 
Unampenda na wala hamjawahi kuonana, afu ni baba yako mdogo aiseeeh kazi kweli kweli.
 
Yaani vitu vingine mie naviona kama miujiza ivi dah umejua kunishangaza mkuu Ndanga
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.

kwa tabia yako ya kuchungulia boxer ya babako ilivyovimba hutakaa uolewe.
 
Haya Mambo ngoja niwaachie Wakina Kaboom, Sumbai, Mito na Worldboss katika Kutoa Ushauri uliotukuka
 
Muombee huyu,bado mapema. Ukumbuke hawajafahamiana na bamdogo kwa hiyo unaweza kumuokoa..

Mimi nipo salama kabisa mpendwa,sihitaji maombi ila nitakuja kuchukua maji ya baraka.

Unichukulie na Mimi tena umwambie na Wifi Yako Apologise lady
 
Tafuta kijana mwenzako akupige pumbu kisawa sawa utapata akili.

Hlf hivyo vihela ndiyo vinakudanganya.
 
Ushauri kidogo tu. Nenda moja kwa moja kwake, weka mkutano na mamako mdogo na mume wake umwarifu mamako madogo kuwa unataka kuolewa.
Akiisha piga vigelegele umwambiye, unatamani kuwa mke mwenziye. Akikukubalia, sisi hatuna kizuizi. Huo kwetu tunauitaga, "UKANGI KIMWI"
 
Back
Top Bottom