Mume poa lakini hatoi unyumba

Hahahahahaha lol! Hako kaemoji kanamwambia nini BAK? 😛😛😛

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kanamwambia BAK kwa nini amependa hayo maandishi [emoji12] [emoji12] [emoji12]

[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Reactions: BAK
Hahahahahahah lol! Haya umeeleweka. 😵😵😵

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kanamwambia BAK kwa nini amependa hayo maandishi [emoji12] [emoji12] [emoji12]

[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Hahahahahahah lol! Haya umeeleweka. 😵😵😵
Hahaaaa. BAK Ndio maana Nakupenda aisee mana uelewa wako sio wa nchi hii.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 

Embu lete nionje pengine asali imepungua utamu nikishaonja utapata majibu hapohapo
 
Baadhi ya wanandoa hawapo romantic kabisa. Kama huyo mwanaume hakugusi, wewe unalala nae hata hufanyi chochote kuamsha hisia zake?
 
Hizi nazo unrealistic expectations za kwenye ndoa.

Muanze asubuhi akiwa anatoka bafuni.

Grab his manhood give it a little kiss. Tell it nina kazi na wewe jioni.

Mchana mchana text him something naughty.

Jioni jioni Anza maandalizi.

Men hate monotony. Style ile ile ya kila kitu deile. Msosi, mpangilio wa vitu ndani ama hata sex.

Unaweza kuta he is just bored. Spice stuff up.
 
Mi nadhani ki msingi wanandoa wote wanapaswa kupeana tunda kila pale mwenzake anahitaji.

Ki msingi km mmoja anakuwa haonyeshi mwamko wa kimapenzi na mwingine akauchuna kimya kana kwamba hamuoni mwenzake hapo patakuwa na tatizo kwa wote,na hiyo itakuwa sio ndoa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi tuzidi kuamini ule usemi wa ndege wafananao huruka pamoja.

Mana sio hali ya kawaida hiyo kwa binadamu waliokamilika.
Emmyta(ww itika "Naam au Abee!"): Inabidi tu akubaliane na matokeo kwa sababu inaonekana walipokuwa wanachumbiana yy hakutaka kamwe kumwonjesha papuchi kwa misingi kwamba eti "thi uthubiri ngoja tufunge ndoa". Ss analia nini? C angekuwa ameligundua hilo mapema na kupima maji na unga?.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…