Kwan ww hauna mume/mpenz/mchumba?Habari za jioni wakuu,
Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.
Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.
Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.
Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
nia yake ilikua atongozwe na huyo mume ampe mambo awe mchepuko. ila ndo hakuwahi hakufanikiwa. hahhahaha. kuchelewa kuolewa ni shiiddaaa. Shameless.Wewe ndio 7bu ya kuharibu ndoa ya watu
haswaaa.Pole for what happened lkn mawasiliano ya kupindukia na yenyewe hayana upako sana kwa mume/mke wa mtu, hebu vaa viatu vya huyo dada.
hahahahaha alikua mawindoni anatega mtego ila ndo mwenye mali akawahi kutegua.yani maelezo yako yanaonesha wewe ulikua mchepuko kama njia kuu yani iliwekewa lami,bora umekoma ndoa za watu ni agano toka kwa Mungu,
wasichana wengi michepuko yao wanaiitaga kaka hivo hivo eti kaka wa hiyari...ha ha ha
indeed.Tena shoga usirudie..mume mtamu haswaa jiweke kwenye viatu vya bidada...simu kutwa nzima chaaaaa.eti mnfarijiana..no way...u know wht maybe labda huna guy anayekuweka busy.....thts why...and m telling you ipo siku mngebanduana....
Cz mliweka ukaribu mno.....
Hakunaga urafiki wa kike na kiume wa kupigiana simu everyday ...pata mume ndio utajua shoga yngu...
Mimi mume wangu nilimwambia kitambo wkt tuko kwenye michakato ya ndoa..una marafiki wa kike yes..let them now know the difference kwamba u r going to be a someoness husband...dont entertain them...
Mbona vingine alivilima block...mana demu hana bwana basi anataka mume wangu mimi ndio awe the closest guy. haaaah hakunaga...full heshima...i had friends wa kiume pia job na ex school mate ambao kabla sijaolewa ht wapige simu mara ngp napokea...now nooo. Na hawatuhubutu.cz mume atajiifiiriiaje
da sky, naomba kukujua.. maana ushakua single tayari..Hapana mkuu.
again? so ulikuwa unachepuka kiaina?I am taken mkuu.
hahahaa! you spoke it all in ur thread, an'way am not here to judge, but to fetch you auricles... got me?That is for me to know and for you to find out, sikuwa ninachepuka and you have missed me by an "
Itabidi nichangamkie fursa hapaKwakweli tumuonee mzee huruma, ule ugali alinunua miaka zaidi ya ishirini alafu unamletea vituko nyumbani.
Karibu tufanye nikah/nusura maana unaonekana ushungi utauweza mkuu njoo PM[emoji7] [emoji7] [emoji7] ngoja na mm ntafute mme
am in my mid 20's.. you? can you double my age?No worries mkuu and further info, I'm very organic.
Baelezee,wengi hawalijui hili,mpaka wakiachika ndio huwa wanagundua.Habari za jioni wakuu,
Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.
Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.
Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.
Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
Acha kabisa mume Mtamu[emoji39] asikwambie mtu tena anaumaHabari za jioni wakuu,