moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 910
- 947
Mkuu cheza na saikolojia,,, jamaa alitaka ajibiwe sina mchumba amfuate PM kha kha kha (kwa saut ya blaza K)Kwa hiyo kama hana mchumba na wala hajaolewa ndo aendelee kuchezacheza na mume wa mtu???[emoji17]..........seriousily???[emoji30]