Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Kwa hiyo kama hana mchumba na wala hajaolewa ndo aendelee kuchezacheza na mume wa mtu???[emoji17]..........seriousily???[emoji30]Urafiki wenu kama una mipaka "no jigijigi" sioni shida la muhimu kwa sasa punguzeni ukaribu.
Lakini shoga swali
1; wewe umeolewa?
2; una mchumba?
If no 1 and 2 yes achana na huyu swahiba ingawa inauma kwa rafiki ulomzoea.