chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,896
Mimi ME nimeshindwa kusoma kichwa cha habari
Huyo ni wifi yako mkuuKumbe kuna wanaomisiwa?
Sure.. Na ukiwa na dada haukosi shemeji.. Sema tu asiwe bwana uremboNimeelewa mkuu, ukiwa na kaka hukosi wifi.
Hata mi nashangaa.. Embu huo moyo upunguze kiherehere.. Tusije tukampoteza mzeeKwakweli tumuonee mzee huruma, ule ugali alinunua miaka zaidi ya ishirini alafu unamletea vituko nyumbani.
Na nyie acheni kuwa karibu na waume za watu.. Si mtafute WA kwenu!!!?? Kila siku kujifanya marafiki kwa waume za wenzenu wakat mnajua hakina urafki kat ya mwanaume na mwanamke..Habari za jioni wakuu,
Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.
Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.
Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.
Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
Nilikwambia uje kwangu ukakataa, ungeshaolewa.Huo wakati ukifika hutaniona sana hapa, saa kama hizi nitakuwa nina massage miguu ya Mr.
Habari za jioni wakuu,
Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.
Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.
Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.
Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
Mlikuwa mnaelekea huko mkuu.Hapana mkuu, kumbe yale maongezi yetu yalikuwa yanamkera mwenye mali zake.
Huko ndio kujitambua, yawezekana Nia ilikuwa sio mbaya ila mwenzio alikwazika ACHA KABISATena koma kama ulivyokoma kunyonya nyonyo ya mama yako![emoji30]......Tafuta wa kwako ikibidi hata JF!