Mume ni mtamu asikwambie mtu

Mume ni mtamu asikwambie mtu

Nilivyoona kichwa cha habari nikajua tayari!!
 
Tena shoga usirudie..mume mtamu haswaa jiweke kwenye viatu vya bidada...simu kutwa nzima chaaaaa.eti mnfarijiana..no way...u know wht maybe labda huna guy anayekuweka busy.....thts why...and m telling you ipo siku mngebanduana....
Cz mliweka ukaribu mno.....
Hakunaga urafiki wa kike na kiume wa kupigiana simu everyday ...pata mume ndio utajua shoga yngu...
Mimi mume wangu nilimwambia kitambo wkt tuko kwenye michakato ya ndoa..una marafiki wa kike yes..let them now know the difference kwamba u r going to be a someoness husband...dont entertain them...
Mbona vingine alivilima block...mana demu hana bwana basi anataka mume wangu mimi ndio awe the closest guy. haaaah hakunaga...full heshima...i had friends wa kiume pia job na ex school mate ambao kabla sijaolewa ht wapige simu mara ngp napokea...now nooo. Na hawatuhubutu.cz mume atajiifiiriiaje
 
Habari za jioni wakuu,

Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.

Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.

Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.

Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
Mkuu kuwa na uhusiano na mwanaume ambaye si ndugu yako eti unasema best friend tu lazima mkewe awe na wasiwasi hata kama hajaona utofauti kwa mmewe ndio maana kwa sisi wanaume kama kuna mdada ulikuwa umemzoea ama rafiki tu wa kawaida siku akiolewa mazoea/utani yanapungua kwa kiasi kikubwa ili mmewe asijewahisi tofauti then ukamuharibia mwenziwe ndoa yake
 
Habari za jioni wakuu,

Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.

Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.

Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.

Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
Kwani wewe. Huna mume
 
Simu hizi...ila je is it realistic kuexpect uaminifu wa mwenza maisha yenu yote ya ndoa...naamini figisu labda zitokee and somehow keep ur mind open lolote laweza kutokea
 
Habari za jioni wakuu,

Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.

Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.

Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.

Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
Njoo kwangu mke wangu yupo safarini kimasomo
 
Ni huo utamu ndo unafatwa! Ushaskia mume wa mbuzi anafatwa?jua mume mtamu haswa.
 
Hapana mkuu, kumbe yale maongezi yetu yalikuwa yanamkera mwenye mali zake.

Mali zake or mali yake?? Au anazongapi mali huyu rafiki yako?

Na wewe ulizidi hadi usiku mnapigiana simu!! Kwa nini asihisi mnakwichikwichi?? Au ungekuwa wewe mme wako anapigiwa simu mida hiyo utavumilia kweli? Sema ukweli
 
Back
Top Bottom