SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 175
Kuna jamaa mmoja alijikokota kiugumu ugumu Hadi akafanikiwa kununua ka -usafiri ka kutembelea, jamaa yeye ni mwalimu na mkewe ni mwalimu. Ikatokea kama zali jamaa akabadilsha kazi/alipata azi inayolipa zaidi so akahamia mkoa mwingine. Akaona isiwe tabu..akamuachia gari Yule mkewe ili ataembelee..! cha ajabu demu amekwenda benki amechukua bonge la mkopo wa milions na akazituma kwao bila mume Wake kujua...halafu anamwambia mume Wake maisha magumu hata hela ya kuweka mafuta kwenye gari anakosa..hivyo amsaidie. Hapo ndo unapokuja kuona akili za wanawake..ni hamnazo....wepesi wa kulia lia wakati kuhudumia hamuwezi...unapewa gari we unaenda kuchukua loan unapeleka kwenu halafu mume bado akuwekee wese...nauliza...Mmerogwaaaa au?