Habar za muda huu wakuu kuna binti hapa mtaani kwetu ameolewa na anamtoto mmoja ..mume wake ni mfanyakaz wakazi za ulinzi
Sasa juzi kuamkia Jana mumewe akiwa kazin binti kaingiza njemba na huwa ni kawaida yake ...sasa juzi katika kuingiza njemba ambae ni boss wake ndani majirani si wakamtonya mumewe ...mumewe karudi resi home kakuta njemba anajilia vyake daaa sad ...amna action zaidi ya dem kusema kuwa bado anampenda mumewake chakushangza zaidi jamaa analia anamuomba radhi mke wake asiondoke hata kama amemfumania bado anampenda sana ...sasa nauliza hapa kuna mapenzi kweli