Mume amfuma mkewe na boss, amuomba msamaha mke

Mume amfuma mkewe na boss, amuomba msamaha mke

yap hili suala lipo, anafanya kosa na msamaha unaomba wewe (hasa kama ni mpenz wako wa kwanza) unahis hakuna mwingine.kwa wale wenye ma x-95 hili ni gumu
Ni kwel mkuu minimeshuhudia kwa macho yangu sa sijui nini kitaendlea
 
Ndo madhara ya kujifanya mtakatifu.. et ntagegeda mwanamke ntakaye muwowa.. nifull kudata tu,,
 
Siri za ndani ya ndoa yao wanazijua wao, ndio maana wana usiri na hamkuweza kufahamu mengi. Yaani sio waropokaji wanapogombana au tukio baya kutokea kati yao kama hilo.
 
Habar za muda huu wakuu kuna binti hapa mtaani kwetu ameolewa na anamtoto mmoja ..mume wake ni mfanyakaz wakazi za ulinzi

Sasa juzi kuamkia Jana mumewe akiwa kazin binti kaingiza njemba na huwa ni kawaida yake ...sasa juzi katika kuingiza njemba ambae ni boss wake ndani majirani si wakamtonya mumewe ...mumewe karudi resi home kakuta njemba anajilia vyake daaa sad ...amna action zaidi ya dem kusema kuwa bado anampenda mumewake chakushangza zaidi jamaa analia anamuomba radhi mke wake asiondoke hata kama amemfumania bado anampenda sana ...sasa nauliza hapa kuna mapenzi kweli
Ameelewa kua Binadamu hukosea na amemsamehe mkewe as simple as that,na wale visonoko waitaishia kuona wenzao wakibembelezwa japo kosa ni lao,hapo sasa wataanza oooh Limbwata oooh mume hafai,ooh ka nyuishwa sijui nini ya chini,kumbe NIMAPENZI TUUUUUUUUUUUUU...
 
Ila aya mapnz n kiboko kabisa
 
Siwezi kumlaumu huyo "Askari"

Maisha katika nchi za dunia ya Tatu hayana "fomula". Huenda huyo bibie kashika funguo za mafanikio ya ndugu yetu.

Ndoa pia zina siri kubwa, huenda "Askari" jogoo hapandi mtundi na kuna makubaliano na mkewe akitembeze nje na iwe siri yao.
 
Habar za muda huu wakuu kuna binti hapa mtaani kwetu ameolewa na anamtoto mmoja ..mume wake ni mfanyakaz wakazi za ulinzi

Sasa juzi kuamkia Jana mumewe akiwa kazin binti kaingiza njemba na huwa ni kawaida yake ...sasa juzi katika kuingiza njemba ambae ni boss wake ndani majirani si wakamtonya mumewe ...mumewe karudi resi home kakuta njemba anajilia vyake daaa sad ...amna action zaidi ya dem kusema kuwa bado anampenda mumewake chakushangza zaidi jamaa analia anamuomba radhi mke wake asiondoke hata kama amemfumania bado anampenda sana ...sasa nauliza hapa kuna mapenzi kweli
Ushirikina huo
 
Mwanaume akiacha huwa maisha yake yanakuwa mazuri lakini akiachwa ni balaa nina mtu namfahamu aliachwa na mkewe alibembeleza miaka mitatu kumbe mke alikua amechanganya sana baada ya kuhisi alikopita si salama alitafuta visa amuache mumewe ili amnusuru angalau atunze watoto jamaa aliugulia lkn mwanamamama hakubadili nia ukweli aliujua binti baada ya kufariki ndugu walimwabia .Alilia kama mtoto.Kifupi kuna wanaume suala la kuachwa hawapendi ht kusikia.
 
Back
Top Bottom