Mume amfuma mkewe na boss, amuomba msamaha mke

Mume amfuma mkewe na boss, amuomba msamaha mke

masanjuo

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
200
Reaction score
341
Habar za muda huu wakuu kuna binti hapa mtaani kwetu ameolewa na anamtoto mmoja ..mume wake ni mfanyakaz wakazi za ulinzi

Sasa juzi kuamkia Jana mumewe akiwa kazin binti kaingiza njemba na huwa ni kawaida yake ...sasa juzi katika kuingiza njemba ambae ni boss wake ndani majirani si wakamtonya mumewe ...mumewe karudi resi home kakuta njemba anajilia vyake daaa sad ...amna action zaidi ya dem kusema kuwa bado anampenda mumewake chakushangza zaidi jamaa analia anamuomba radhi mke wake asiondoke hata kama amemfumania bado anampenda sana ...sasa nauliza hapa kuna mapenzi kweli
 
Safi na sana, Mungu awasimamie katika ndoa yao waishi pamoja na kudumu katika ndoa yao hadi kifo kiwatenganishe!
 
Habar za muda huu wakuu kunabint APA mtaani kwetu ameolewa na anamtoto mmoj ..mume wake n mfanyakaz wakazi za ulinzi

Sasa juzi kuamkia Jana mumewe akiwa kazin binti kaingiza njemba na huwa ni kawaida yake ...sasa juzi katika kuingiza njemba ambae ni boss wake ndani majirani si wakamtonya mumewe ...mumewe karudi resi home kakuta njemba anajilia vyake daaa sad ...amna action zaidi ya dem kusema kuwa bado anampenda mumewake chakushangza zaidi jamaa analia anamuomb radhi mkewake asiondoke atakama amemfumania bado anampenda sana ...sasa nauliza APA kunamapnzi kweli
Huyo jamaa mafunzo yake ya uaskari kuwa mlinzi alijifunzia wapi!!huyo hajaiva kabisa!!
 
Very likely. Probably a graduate of one of our esteemed institutions of higher learning. Kind of sad eeeh?

Ikr. It's a shame how out education is proving to be a joke on a daily. We got professors acting silly, graduates that can't even write nor read straight. No wonder we chickening outta the EAC.
 
ha ha ha ha mahaba haya kwel yasikie tu kama simulizi kwa wengine.
 
Back
Top Bottom