PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,082
Hahahayap hili suala lipo, anafanya kosa na msamaha unaomba wewe (hasa kama ni mpenz wako wa kwanza) unahis hakuna mwingine.kwa wale wenye ma x-95 hili ni gumu
Hahahayap hili suala lipo, anafanya kosa na msamaha unaomba wewe (hasa kama ni mpenz wako wa kwanza) unahis hakuna mwingine.kwa wale wenye ma x-95 hili ni gumu
NaamKati ya upuuzi wa hali ya juu unaoweza fanya ni kutembea na mke/mume wa mtu na kufanyia mapenz nyumban kwake.
Kuchapiwa hakuepukiki ila kumuomba msamaha dem ndo jau mwanetu kalishwa limbwata hajui afanyaloVery likely. Probably a graduate of one of our esteemed institutions of higher learning. Kind of sad eeeh?