social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,262
mkuu hyo jamaa kalia sna?
Cc bakari mzuriKati ya upuuzi wa hali ya juu unaoweza fanya ni kutembea na mke/mume wa mtu na kufanyia mapenz nyumban kwake.
Kwani yeye hapigi papuchi nje,Habar za muda huu wakuu kuna binti hapa mtaani kwetu ameolewa na anamtoto mmoja ..mume wake ni mfanyakaz wakazi za ulinzi
Sasa juzi kuamkia Jana mumewe akiwa kazin binti kaingiza njemba na huwa ni kawaida yake ...sasa juzi katika kuingiza njemba ambae ni boss wake ndani majirani si wakamtonya mumewe ...mumewe karudi resi home kakuta njemba anajilia vyake daaa sad ...amna action zaidi ya dem kusema kuwa bado anampenda mumewake chakushangza zaidi jamaa analia anamuomba radhi mke wake asiondoke hata kama amemfumania bado anampenda sana ...sasa nauliza hapa kuna mapenzi kweli
hatariHii inanikumbusha dada mmoja alikaa kwenye ndoa miaka kumi hajapata motto, alichepuka akapata mimba, mume alikasirika lakini hawezi kuondoka ghafla inabidi ajipange na kumbe wanatoka kijiji kimoja, yule dada alijenga nyumba kijijini kwao, kwakuwa nyumba ya wakwe ilikuwa chokaz baada ya ndoa wakwe walihamia kwenye nyumba ya dada. Yule kaka nae alipumzika asifikirie kuwajengea wazazi wake. Sasa ndoa imekwisha, dada anataka wakwe watoke kwenye nyumba yake. Inabidi jamaa abembeleze mimba wakati anajua amesalitiwa.
ha ha ha haIkr. It's a shame how out education is proving to be a joke on a daily. We got professors acting silly, graduates that can't even write nor read straight. No wonder we chickening outta the EAC.
Kama,mm_ninavyokupenda_ww!!Ha haa kuna watu wanapenda kupitiliza aise
Huko sio kupenda kupitiliza ila ni utumwa na upumbavü!!Ha haa kuna watu wanapenda kupitiliza aise
Vipi ikikutokea kwako hii!!??hatari
HapanaVipi ikikutokea kwako hii!!??
Mara moja si mbaya eti,suna!Hapana