Ngoja nikusaidie ndugu kiufupi ni kwamba vyuo vyote wamechelewesha majina kuyapeleka au kuwasilisha TCU majina yaliyowasilishwa ndio Yale yaliyotangazwa juzi pia ndio maana vyuo vinaendelea kufanya mchakato wa kuwajibu katika account zao maana majina ni mengi na muda ulikuwa mchache sasa ndio maana TCU wanafuata ratiba yao that's why walichelewesha badala ya 22 wakatoa tar 24
Hivyo vyuo husika still bado wanaendela na mchakato huo wa kuwapa taaraifa za majibu yao.
Tuweni makini kwa haya mambo na pia tujaribu kuwasiliana vyuo husika na siyo kuanza kuleta marumbano pia hapa n kwa ajili ya kujulishana mambo ya kieleimu zaidi na tukumbuke katika mchakato wa kuweka saw a majibu sahihi.
Wanafunzi wengi wana vigezo hivyoo hi I sec round vyuo husika walipata muda mchache kuwasilisha majina hayo TCU so kama unataka maelezo zaidi ningeomba ufike TCU watakuelewesha.