Mkuu naomba kujua hii 3 round mwisho lini,?Kuna hatari ya watu kuachwa mwaka huu!!
Mkuu naomba kujua hii 3 round mwisho lini,?
Hapana don't say hivyoo apply tena hiyoo ya mwisho masaaa Bado yapo usikate tamaaa jamanDah! Nimekosa nafasi tena sinamatumaini
wameshatoa majina sua ebuu update ur account and check web ya suaMmi mpaka ssa SUA profile iko vile vile cjui ndo nshatemwa au vp!
Any taarifa kwa udsm and uzumbe pia na udom
Mzumbe badoo na ukiwapigia wanakwambia hata wao majina hawajapewa Bado so hawez upload kituuHata mzumbe wametoa?
Ebu tuma screenshot chief tuonewameshatoa majina sua ebuu update ur account and check web ya sua
Official website hiyo iko published Leo 26/9/ 2018 sasa 15:17 ..sasa hayo nyie mnayaonea wapi aiseewameshatoa majina sua ebuu update ur account and check web ya sua
Nimeangalia na hakuna status yoyote...Angalia account yako ya sua
Kwel kabsa.. maana ata mmi sion chochte mpaka ssaNimeangalia na hakuna status yoyote...
Ww kama umeona tuma screenshot tuone boss
Kwel kabsa.. maana ata mmi sion chochte mpaka ssa