Naomba ufafanuzi kuhusu NIT Second round

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
628
1,644
Wadau mwaka jana nilimsaidia mtu kuomba chuo diploma. Alikuwa amechelewa hivyo katika kutafuta nikapata NIT wako na second round application, nikamuombea hapo sasa mpaka leo akaunti yake inasema "application submitted keep visiting for updates".

Anahisi sijamuombea mpaka akaniomba 10,000 yake nirudishe nikampa nikamwambia wakitoa selection atanilipa. Sijajua huu utaratibu wa second round ukoje hasa kwa pale NIT.

Muongozo.
 
Shida lugha au? hapo application imekamilika but inamaana muendelee kusikilizia mpka majibu yatakapo toka.
Na mara nyingi Kwa second selection inaweza chukua cku 4-5 kupata majibu.
 
Shida lugha au? hapo application imekamilika but inamaana muendelee kusikilizia mpka majibu yatakapo toka.
Na mara nyingi Kwa second selection inaweza chukua cku 4-5 kupata majibu.
Tangu mwaka jana mwezi wa tisa ndio ameomba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom