Naona Giza tuuSingle selection yenyewe vipi
Jina lipo ndo nmeliona huko mkuu sema nafany kuwapgia chuo husks hawapokei cmTembelea website ya TCU wametoa majina ambao walichagulia awamu ya kwanza but hawajacomfrm then utajuwa kama upo au haupo alafu utawasiliana na chuo husika
Nenda TCU mapema kawaeleze hili tatizoJina lipo ndo nmeliona huko mkuu sema nafany kuwapgia chuo husks hawapokei cm
255 (0) 22 2113691Naombeni mamba za TCU ya simu jaman
vp mkuu SUA washatoa second round??Sua ukiwapigia hawapatikani
Sio kazi rahisi kama unavyofikiria kuna wajinga mpaka leo wamechaguliwa round ya kwanza na bado hawapigi simu kufanya confirmation popote , pia vyuo hivyo ni vikubwa ikitokea baadhi ya watu hawajafanya confirmation maana hata nafasi iliyobaki wazi haijulikani sababu unaweza ukaacha kumpa mtu nafasi kumbe uliyemuwekea haji , pia unaweza kugawa alafu akaja wakati nafasi haipo , alafu hivyo ni vyuo vikubwa kuanda list sio kazi ya kitoto nafasi bado zipo nyingi watu wa kufanya confirmation ndio wanazingua , kuna mtu namfahamu amechaguliwa multiple na jina lake hata kwenye list ya TCU halipoHila kuna hivii vyuoo vitatu
UDSM
UDM
MZUMBE
ni pasua kichwa sijuwii wanataka wanafunzi wafanyaje
Nakuelewa sana na ndio maana wanaweka round tatu za kufanya udahili hilii kuweza kutambua ni mwanafunxi gani ambar amekosa nafanya na ambae amepata nafasi .Sio kazi rahisi kama unavyofikiria kuna wajinga mpaka leo wamechaguliwa round ya kwanza na bado hawapigi simu kufanya confirmation popote , pia vyuo hivyo ni vikubwa ikitokea baadhi ya watu hawajafanya confirmation maana hata nafasi iliyobaki wazi haijulikani sababu unaweza ukaacha kumpa mtu nafasi kumbe uliyemuwekea haji , pia unaweza kugawa alafu akaja wakati nafasi haipo , alafu hivyo ni vyuo vikubwa kuanda list sio kazi ya kitoto nafasi bado zipo nyingi watu wa kufanya confirmation ndio wanazingua , kuna mtu namfahamu amechaguliwa multiple na jina lake hata kwenye list ya TCU halipo
Dah kweli hali mbaya.. Kutoka Bcom hadi Sociology?!Round ya tatu hii nimetoka kumfanyia mtu application sio kweli kwamba usajili umefungwaView attachment 880117