Multiple selection second round

Multiple selection second round

Tanzania kupata elimu awamu hii ni tabu sana jamani, mambo hayaeleweki kabisa watoto wana pressure kuliko hata kipindi walipokuwa wanasubiri matokeo
 
mkuu nimekupata vyema sana ila wewe hujanielewa padogo sana

ukiingia ww.tcu.com utakuta updates tofauti tofauti ila update ya pili ni about selected students (waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja). Ukiisha kubofya hiyo update itafunguka na kuja page moja tu

Hiyo page itakayokuja inamaelezo ambayo utatakiwa kuyasoma vizuri. Vilevile hiyo page ina sehemu mbili zililo-be-highlighted in blue color,

Utafungua link ya kwanza ambayo ni majina ya waliochaguliwa katika round ya pili ya udahili then utaweza kutafuta jina lako, kama utakuwa umechaguliwa utaliona

Alternative rahisi mbali na hiyo ni kuingia katika account zako kayika vyuo ulivoapply uchek status ikoje
Karibu account zote naona status haijabadiika na hakuna mabadiliko yoyote mpaka sasa
 
Sasa mkuu mbona wanasema mwisho kuapply third round ni Leo inakuaje sasa na majina mengine bado hayajatoka
hakuna tatizo kwa sababu niliongea na udom ns udsm wakasema bado hawajamaliza kufanya selection so tusubiri
 
Hawa wataweka hadi 5th round mwaka huu . Maana they have failed kufanya mambo kwa wakat. Na yanaingiliana. Ila tuondoe shaka tuwaache wafanye kazi yao
 
daaa yn me hata sielewi, kila nkichek profile yang ya udom status ipo vile vile (ur applction has ben recevd succsfl) jaman hapa kuna kuchaguliwa kwel kama mambo ndo haya mpaka sa hv !
 
hakuna tatizo kwa sababu niliongea na udom ns udsm wakasema bado hawajamaliza kufanya selection so tusubiri
Huu unaofanya ni uongo na upotoshaji...kama hawajamaliza selection imekuwaje kwenye second round multiple selection iliyotolewa na tcu kuwepo na wanafunzi wanaooneka wamedahiliwa na udom na udsm
 
Huu unaofanya ni uongo na upotoshaji...kama hawajamaliza selection imekuwaje kwenye second round multiple selection iliyotolewa na tcu kuwepo na wanafunzi wanaooneka wamedahiliwa na udom na udsm
wewe ndo unasema upotoshaji but mimi niliwa-email udsm wakarepl ..angalia tarehe na muda walioreply alafu kaangalie second roumd majina yalipostiwa saa ngapi !?
Screenshot_2018-09-26-08-19-30-1.png
 
TANZANIA NCHIYANGU vip unasemaje kuhusu iyo email hapo ya udsm je na wenyewe wanapotosha !?

+255262310300 hii ni namba ya udom wasiliana nao na wewe ujiridhishe.
 
hakuna tatizo kwa sababu niliongea na udom ns udsm wakasema bado hawajamaliza kufanya selection so tusubiri
Mkuu sijakuelewa sasa wanasema hawajamlza kufanya selection hayo majina ya tcu wameyatoa wapi je hao wakifanyiwa selection wanajuaje kama hawachaguliwa vyuo vingine?ili wawe kwenye multiple naomba ufafanuzi wako
 
kunaye jamaa angu kachaguliwa vyuo vitatu lakina jina lake halipo kwenyw multiple selected
 
Wanazingua sana hawa leo mwisho third round na wengine tuliiomba second matokeo hatujayaona
 
Mi kinachonishangaza mbona hawatoi orodha ya waliochaguliwa kwenye chuo kimoja? Mi naona orodha ya waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja ina maana waombaji wote wamechaguliwa chuo zaidi ya kimoja arrgh hawa jamaa wanaboa kinoma
 
Back
Top Bottom