Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

Hakukatwa kwa bahati mbaya ni mwehu

Ana ugonjwa wa kichaa kinaingia na kutoka akiwa waziri wa mambo ya nje kichaa kililipuka akiwa anawakilisha bajeti ya wizara yake ya mambo ya nchi za nje mbele ya bunge

Ana tatizo la afya ya akili

Ziliruka akiwa anasoma bajeti
 
Kwahiyo hill tatizo lilimuanza lini ?.
 
Atakuwa nalo muda mrefu labda ilikuwa siri yake na madaktari lakini siku anawasilisha bajeti ya wizara yake bungeni kililipuka mbele ya bunge lote wakati anasoma bajeti
Na Raisi akamtoa uwaziri chap chap
Nyie watu wa sisiemu mnashida ya akili Sana .
 
Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe.

In short don't trust politicians hasa ukiwa smart .

Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
1. Kuna jamaa alitolewa SA na JK akapewa Uwekezaji
2. Muhongo aliachishwa kaxi nzuri akateuliwa kupewa uwaziri
3. Tido Muhando TBC
Hawa wote wametendwa
 
Hakika maana posho ya kikao kimoja ndo mshahara wa Mwalimu.
Siasa zitakua zinalipa sana

1. Kuna jamaa alitolewa SA na JK akapewa Uwekezaji
2. Muhongo aliachishwa kaxi nzuri akateuliwa kupewa uwaziri
3. Tido Muhando TBC
Hawa wote wametendwa
Hao vilaza akina muhongo na muhando unawafananisha na Mulamula ?
 
Hakukatwa kwa bahati mbaya ni mwehu

Ana ugonjwa wa kichaa kinaingia na kutoka akiwa waziri wa mambo ya nje kichaa kililipuka akiwa anawakilisha bajeti ya wizara yake ya mambo ya nchi za nje mbele ya bunge

Ana tatizo la afya ya akili

Ziliruka akiwa anasoma bajeti
Sio kwamba amepigwa na kitu kizito halafu mnasingizia afya ya akili? Uswahili na ushirikina ni mwingi na umetamalaki sana CCM.
 
Kwahiyo mpaka mnamtoa USA mnampa uwaziri na ubunge hamkulijua hili swala.
Ugonjwa ni siri ya mtu na daktari wake
Ila kichaa kililipuka live bungeni mbele ya vyombo vyote vya habari

Kama alificha tatizo lake Raisi akajua mzima kumbe siyo.Lakini alipokuwa akisoma bajeti ya wizara yake kikalipuka live bila chenga
 
Hakukatwa kwa bahati mbaya ni mwehu

Ana ugonjwa wa kichaa kinaingia na kutoka akiwa waziri wa mambo ya nje kichaa kililipuka akiwa anawakilisha bajeti ya wizara yake ya mambo ya nchi za nje mbele ya bunge

Ana tatizo la afya ya akili

Ziliruka akiwa anasoma bajeti
To some extent kuna ka ukweli🤣🤣
 
Ugonjwa ni siri ya mtu na daktari wake
Ila kichaa kililipuka live bungeni mbele ya vyombo vyote vya habari

Kama alificha tatizo lake Raisi akajua mzima kumbe siyo.Lakini alipokuwa akisoma bajeti ya wizara yake kikalipuka live bila chenga
Huu uongo wa wazi
 
Hakukatwa kwa bahati mbaya ni mwehu

Ana ugonjwa wa kichaa kinaingia na kutoka akiwa waziri wa mambo ya nje kichaa kililipuka akiwa anawakilisha bajeti ya wizara yake ya mambo ya nchi za nje mbele ya bunge

Ana tatizo la afya ya akili

Ziliruka akiwa anasoma bajeti
We mpumbavu una cheti Cha hospitali kudhibitisha haya...acheni kutukana mama zenu mbwa nyie.
 
Back
Top Bottom