Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,170
- 17,584
NyamburiNyampua bana aah
NyamburiNyampua bana aah
Muhongo hajapewa ubunge na rais. Alipita kwa kuchaguliwa na wananchiHata ningekuwa mimi nisinge udhuria mana alie mpa ubunge alimwambia hafai sasa kwanini ang'ang'anie
Unajua maprofessor wengi huwa wanajiamini na kiburi kinatokana na elimu yao. Umemsahau mzee Mbilinyi? Dharau zake zililifanya Taifa likose mmoja wa mawaziri nguli wa fedha sababu ya dharau yake alipoambiwa kuwa ana wezi katika wizara yake kina Kilonsi Mpolongonyi watu wa deal alitumia lugha kama ya Muhongo. Balali pia dharau zake na imani kwa watendaji wake wa chini ilimfikisha pabaya maana maisha yake yote alizoea kufanya kazi na watu waaminifu bank ya dunia na alikua nje ya nchi kwa miaka zaidi ya 20 aliporudi alidhani Tanzania ni kama ile ya Nyerere dharau zake zilipelekea kutufikisha katia EPA. Wasomi wetu siyo wabaya ila hulka yao ya dharau kwa usomi wao inawafanya washindwe na wachakachuaji wa vyeti kama kina Bashite.Muhongo angejifunza kwa Masilingi enzi za kubinafishwa kwa Kilimanjaro Hotel
Vurugu na Mume wa K-Lyn havijawahi kumuacha mtu salama.
Ile Mengi kuambiwa ana mtaji wa kuwekeza kwenye juice na maji ya kufunga ilimuuma sana.Muhongo atajuta,hawa Maprofesa sijui huwa wanafuata nini kwenye siasa
wabunge ambao sisi wananchi tumewachaguaTufanyeje ili uzalendo wa zamani uturudie tuache kushabikia yasiyojenga nchi? Tumewapa nguvu sana Mawaziri tukasahau bunge! Haiwezekani tulie na Waziri tuu,wakati mambo yote anayotenda yanajadiliwa na kupata baraka za bunge. Kwa nini waliompa baraka wasikimbie akimbie yeye? Ninajua kuna sheria inamruhusu kuamu jambo,lakini hiyo sheria pia hiyo sheria imetungwa na kupitishwa na wabunge. Nanashauri bunge liongeze ufanisi.
Wanafuata pesa za bure bureMuhongo angejifunza kwa Masilingi enzi za kubinafishwa kwa Kilimanjaro Hotel
Vurugu na Mume wa K-Lyn havijawahi kumuacha mtu salama.
Ile Mengi kuambiwa ana mtaji wa kuwekeza kwenye juice na maji ya kufunga ilimuuma sana.Muhongo atajuta,hawa Maprofesa sijui huwa wanafuata nini kwenye siasa
Wewe jamaa huwaga nakukubali sanaJambazi limetoroka yule wa njia ya chalinze na kifutu inabidi tuweke doria msata atoroki mtu hapa
Swissme
Zile mkuu ni kwa wapinzani tu, kule kwingine hazitumiki.Kashilila naye analialia... si wanazo kanuni za Bunge??
Kambarage tuKashachukua chake. Nchi hii mzalendo keshakufa.
Kanusha kwa ushahidi kama hajatorokaHivi ile sheria ya degree kuwa minimum requirement kwa waandishi wa habari ilipitishwa?
Sielewi inakuwaje hiyo taarifa ina register headline kwenye gazeti kubwa kama hilo...aibu sana hii
Lissu ni tunu ya taifa'sijapata kuona waziri muongo kama huyu prof.Muhongo..
narudia tena! ...Sijapata kuona waziri muongo kama huyu prof.Muhongo..' by Tundu Lissu
Utaamini tu nami nilimkuta kijijini kwao akisubiria ugali wa muhogo na satoKwa Nipashe habari ya Muhongo sidhani kama naweza kuiamini sana, nakumbuka Muhongo alimwambia mzee Mengi akawekeze kwenye juice, gesi siyo mziki wake.
Kwa sababu ametorokaImekuaje Nipashe ikaandika leo taarifa zinazohusu Muhongo?
Vigeu geu wale. Hata leo mkuu akisema Muhongo hana shida watashangilia na kugaragara.kamata mwizi huyo
CCM walikata viuno hapa kumtetea Muhongo kwenye issue ya Escrow sasa leo sijui wataficha wapi sura zao
Ubunge wake ni sawa na wa Paramagamba kwani Paramagamba ni mbunge wa wapiAliyempa ubunge? Unamaanisha wananchi wake jimboni?
sasa the ya nini, what are you particularizing? by the way humu ni mahali mizaha mizaha. Nikifanya hivi kwenye thesis au publication, kwenye peer reviewed journal/or any journal, then you can raise concern!...slip of the finger...Unaweza kuonekana sio "msomi" kwa vijimakosa vidogo vidogo kama hivi.
Utaamini tu nami nilimkuta kijijini kwao akisubiria ugali wa muhogo na sato![]()
Wamevaa miwani ya mbaoZile mkuu ni kwa wapinzani tu, kule kwingine hazitumiki.
Hawanaga aibu haokamata mwizi huyo
CCM walikata viuno hapa kumtetea Muhongo kwenye issue ya Escrow sasa leo sijui wataficha wapi sura zao