hawawezi chukuliwa hatua [*]nipashe ni chombo kikubwa cha habari [*]wamejiridhisha kutafuta ukweli ndiyomaana wamechapisha habari hii [*]katibu wa bunge amekiri kutoonekana kwa muhongo bungeni tena bila taarifa.Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, hajaonekana bungeni jijini Dodoma bila ruhusa ya Spika tangu uteuzi wake katika baraza la mawaziri utenguliwe wiki tano zilizopita.
- Hii habari ni kweli au ni kutaka tu kuuza gazeti?
- Sitashangaa gazeti hili likijikuta linatakiwa kumuomba radhi Muhongo
Mei 24, mwaka huu, Rais John Magufuli alitengua uteuzi wa Prof. Muhongo katika baraza la mawaziri, ikiwa muda mfupi baada ya kukabidhiwa ripoti ya kamati ya kwanza ya uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia).
Hata hivyo, uchunguzi wa Nipashe umebaini kuwa mtaalamu huyo wa Jiolojia wa kimataifa hakuwapo bungeni wakati uteuzi wake wa uwaziri ukitenguliwa, huku taarifa zikidai alirudi nyumbani kwao, Musoma mkoani Mara, kuhudhuria mazishi ya dada yake.
Simu ya Prof. Muhongo iliita bila kupokewa alipotafutwa na Nipashe kwa siku tofauti, ikiwamo jana, kuzungumza sababu za utoro bungeni.
Kutokana na kutoonekana bungeni kwa Prof. Muhongo, Nipashe jana ilizungumza na Katibu wa Bunge kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Dk. Thomas Kashililah, ambaye alisema ofisi yake haina taarifa za Mbunge huyo wa Musoma Vijijini (CCM) jambo ambalo ni kinyume cha utaratibu.
Kiongozi huyo wa Bunge pia alisema ofisi yake haijui aliko tangu alipoachishwa nafasi ya uwaziri mwishoni mwa mwezi uliopita.
Dk. Kashililah aliongeza kuwa kwa kawaida mbunge anapokuwa na udhuru, humwandikia Spika kumwelezea hatakuwa bungeni kwa muda fulani na ofisi ya Katibu wa Bunge hupewa nakala.
"Sijapata nakala yoyote ya udhuru wa Profesa Muhongo na wala sijui alipo tangu siku ile", alisema Dk. Kashililah.
Katibu wa Bunge huyo alisema hii ni mara ya pili kwa Muhongo kuondoka bungeni kwa muda mrefu bila ya ruhusa kwani hata alipomwandikia barua ya kujiuzulu Rais wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete, hakuhudhuria Bunge kwa muda mrefu.
Prof. Muhongo alijiuzulu nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini Januari 24, 2015 kwa shinikizo la Bunge, kutokana na taarifa ya Kamati moja ya chombo hicho juu ya kashfa ya uchotwaji fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Chanzo: Nipashe
![]()
Hiki ni kiburi na dharau kwa Bunge.Lakinii,kwani Bunge halina sheria za kuweza kumwajibisha.Itakuwa ajabu sana kama halina.Huku ni kukosea wananchi wa Jimbo lake haki yao ya msingi ya kuwakilishwa.Awajibishwe.Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, hajaonekana bungeni jijini Dodoma bila ruhusa ya Spika tangu uteuzi wake katika baraza la mawaziri utenguliwe wiki tano zilizopita.
- Hii habari ni kweli au ni kutaka tu kuuza gazeti?
- Sitashangaa gazeti hili likijikuta linatakiwa kumuomba radhi Muhongo
Mei 24, mwaka huu, Rais John Magufuli alitengua uteuzi wa Prof. Muhongo katika baraza la mawaziri, ikiwa muda mfupi baada ya kukabidhiwa ripoti ya kamati ya kwanza ya uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia).
Hata hivyo, uchunguzi wa Nipashe umebaini kuwa mtaalamu huyo wa Jiolojia wa kimataifa hakuwapo bungeni wakati uteuzi wake wa uwaziri ukitenguliwa, huku taarifa zikidai alirudi nyumbani kwao, Musoma mkoani Mara, kuhudhuria mazishi ya dada yake.
Simu ya Prof. Muhongo iliita bila kupokewa alipotafutwa na Nipashe kwa siku tofauti, ikiwamo jana, kuzungumza sababu za utoro bungeni.
Kutokana na kutoonekana bungeni kwa Prof. Muhongo, Nipashe jana ilizungumza na Katibu wa Bunge kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Dk. Thomas Kashililah, ambaye alisema ofisi yake haina taarifa za Mbunge huyo wa Musoma Vijijini (CCM) jambo ambalo ni kinyume cha utaratibu.
Kiongozi huyo wa Bunge pia alisema ofisi yake haijui aliko tangu alipoachishwa nafasi ya uwaziri mwishoni mwa mwezi uliopita.
Dk. Kashililah aliongeza kuwa kwa kawaida mbunge anapokuwa na udhuru, humwandikia Spika kumwelezea hatakuwa bungeni kwa muda fulani na ofisi ya Katibu wa Bunge hupewa nakala.
"Sijapata nakala yoyote ya udhuru wa Profesa Muhongo na wala sijui alipo tangu siku ile", alisema Dk. Kashililah.
Katibu wa Bunge huyo alisema hii ni mara ya pili kwa Muhongo kuondoka bungeni kwa muda mrefu bila ya ruhusa kwani hata alipomwandikia barua ya kujiuzulu Rais wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete, hakuhudhuria Bunge kwa muda mrefu.
Prof. Muhongo alijiuzulu nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini Januari 24, 2015 kwa shinikizo la Bunge, kutokana na taarifa ya Kamati moja ya chombo hicho juu ya kashfa ya uchotwaji fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Chanzo: Nipashe
![]()
Mkuu, unaongelea majungu kama ya kusingiziwa katika kashfa ya ESCROW???Muhongo amekimbia majungu ya watanzania
Angepata wapi shamba lingine LA bibi? Hawezi kujuta hata kidogo! Sema kwa sasa inaelekea limepata mwenyewe! Ila watangulizi walijivunia sana na sasa wameachwa "wapumzike"!Muhongo anajuta kurudi nchini angejua.......lakini ninge ange.....ni majuto mjukuuu!!!
BungeniKutoroka wapi? Bungeni au nchini?
Haya maneno hakuyasema "TL" aliyasema Hamisi Kigwangala.
Muhongo anajuta kurudi nchini angejua.......lakini ninge ange.....ni majuto mjukuuu!!!