Prof. Sospeter Muhongo, Leo bungeni Dodoma (Bajeti ya Wizara ya Afya)

Prof. Sospeter Muhongo, Leo bungeni Dodoma (Bajeti ya Wizara ya Afya)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,429

Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya)​

Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo:



Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68

Taifa lisomeshe vijana wengi kwenye eneo la "radiology" ili matumizi ya vifaa tiba kama CT scan, MRI, X-ray na Ultrasound machine yapate wataalamu wa kutosha.

Taafadhali sikiliza mchango wa Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Jumatatu, 2 Juni 2025
 
Back
Top Bottom