Muhongo atoroka!

Muhongo atoroka!

Muhongo angejifunza kwa Masilingi enzi za kubinafishwa kwa Kilimanjaro Hotel
Vurugu na Mume wa K-Lyn havijawahi kumuacha mtu salama.

Ile Mengi kuambiwa ana mtaji wa kuwekeza kwenye juice na maji ya kufunga ilimuuma sana.Muhongo atajuta,hawa Maprofesa sijui huwa wanafuata nini kwenye siasa
Ndipo Mengi alipo sema kuna professor aliyefeli darasa la saba.
 
Back
Top Bottom