Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Ubunge bila uwaziri haunogi kwa profesa
Minimum requirement ni diploma kwa mujibu wa sheria mpya. Ingawa sina uhakika kama stori hii ni ya kweli au la, gazeti la Nipashe limekuwa likishuka kiwango kwa kasi ya ajabu kwa siku za karibuni. Habari wanazozipa uzito wakati mwingine zinakuwa shallow mno kiasi cha kushangaza. The Guardian linafanya vizuri. Inawezekana kuna tatizo kwenye safu ya wahariri!Hivi ile sheria ya degree kuwa minimum requirement kwa waandishi wa habari ilipitishwa?
Sielewi inakuwaje hiyo taarifa ina register headline kwenye gazeti kubwa kama hilo...aibu sana hii
unajua reservation ya mmiliki wa chombo hiki juu ya prof mhongo?
- Hii habari ni kweli au ni kutaka tu kuuza gazeti?
- Sitashangaa gazeti hili likijikuta linatakiwa kumuomba radhi Muhongo
![]()
We nae vp.... Gazeti liko plain clear.... MUHONGO ATOROKA....Mleta mada umesoma vizuri undani wa habariii!??
Umesoma vizuri hicho kichwa cha gazeti au umechukulia kama gazeti la udaku...
Unakta kichwa cha habari "AMINA CHIFUPA AFUFUKA DAR"
Unakimbilia kupost kumbe mwandishi amekumbuka siku yakuzaliwa ya marehemu amina chifupa.
Ushauri wangu kuwa makini!!
Haya maneno hakuyasema "TL" aliyasema Hamisi Kigwangala.'sijapata kuona waziri muongo kama huyu prof.Muhongo..
narudia tena! ...Sijapata kuona waziri muongo kama huyu prof.Muhongo..' by Tundu Lissu
Siyo kweli, hawezi kukimbia majungu maana na yeye ni mtanzania. Kama kakimbia basi ni huu moto aliuwasha mkulu.Muhongo amekimbia majungu ya watanzania
"Bwana"?Acheni uongo,Muhongo yupo Bwana.
Mwandishi hajasema kuwa muhongo katoroka nchini, mwandishi kasema "KATOROKA"Huu ni uandshi wa habarii wa kiwango cha chini kabisa.....upo wakati mmliki wa gazeti hili alikuwa na matatizo na muhongo kuhusu umilikii wa vitalu vya uchimbasji mafuta...sasa haya ndiyo matokeo yake....Yaani hapa ndipo mtu unapoona matatizo ya waandishi wa habari nchini mwetu....
HahaaWamwache kwanza. Wampe likizo atule hasira zake ziishe kwanza, maana kupokwa cheo hasa cha uwaziri inauma balaa. We si unamchekshia Nape. Katokwa povu wee, mpaka sasa naona hasira zake zimepungua...
Hahaha Uspanic..We nae vp.... Gazeti liko plain clear.... MUHONGO ATOROKA....
ulitaka nini tena!??
Wewe mwenyewe huna mpango wa kuinua uchumi wako binafsi na familia yako - Maisha yamekushinda umebaki kuporomosha matusi tu ya lawama humu. Kwanini unadhani kuinua uchumi wa Taifa zima ni kazi ya muda mfupi ?Mawaziri wa nchi hii ya TZ ni ajabu kweli
1. Prof. Muhongo - amekuwa mwongo aliyebobea
2. Dr. Mpango - Hana mpango unaoeleweka wa kuina uchumi.
Yupo sanaAcheni uongo,Muhongo yupo Bwana
Watu wa Musoma wako hivyo, wanajiamini sana! Kwa hilo nawasifu. Nimewafundisha, akitokea akaenda shule, wanakuwa na akili sana darasani!Pamoja na mapungufu ya Muhongo ila napenda jinsi anavyojiamni. Watu wachache wana "balls" kama za muhongo.