Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

The good thing abt "Babu ubishi" ktk recollections zake msamiati SAMAHANI haumo!
 
huyu Muhingo Rweyemamu mbona jina lake limekaa KITUSI TUSI? au na yeyey ndiyo katik ya hao WATUSI waliojazana kwenye VYOMBO VYETU VYA HABARI?
 
mwaka huu kweli.................

tunaanza kuhukumiana kwa majina, mwisho tutaanza kuhukumiana kwa pua na rangi kazi si ndogo spoila endelea kuspoil
 
nnaomba unijuilishe ni nani huyo babu ubishi? nimelipenda hilo jina

Mtumwitu

Anaitwa BOB MKANDARA!


Tupo pamoja 2010![/QUOTE]
 
sasa nimekupata na nimeelewa kwa hiyo huyu babu ubishi ndio tushambatiza hilo jina.
 
Haya waheshimiwa nafungua tovuti naona wajomba mmekavalia njuga Babu ubishi ktk Character assassin zenu. Ama kweli CCM wamejaliwa kwa mengi,sisi wengine miti yote huteleza!...

Eeeh bwana wee kumbe kuna watu wana kisasi na mimi kiasi hicho!.. duh nimeshika adabu.
 
Fuatilia hiyo alafu fuatilia na picha

Kwa mara ya kwanza nimeamua kuchangia mjadala wa JF. Mimi sina elimu sana kama wengi wenu hapa. Mimi hukubali hoja ambayo ina back ups (ninapenda kuona evidence).

Hizo picha zote za CMB hazina tarehe na muda wa lini zilipigwa. Yeye ndio ametuandikia tarehe na muda, siamini kama hizo tarehe ni hakika mpaka pale nitakapoona picha yenye tarehe na muda sio kwa CMB kutuandikia mwenyewe muda na tarehe. Tafadhali usitumie adobe kuweka tarehe na muda kwa sababu wengi hapa watakuumbua ukifanya hivyo.

Kwa sasa bado nampa Mkandara the benefit of the doubt.
 

Bado hata wewe hujaweka uthibitisho hapa kuwa JK hakwenda kumuona AC siku aliyofariki. Hakuna uthibitisho wa kuonyesha otherwise hapa zaidi ya picha ambazo hazina tarehe wala muda kuonyesha kuwa JK alikuwa somewhere else.

Mie sijui JK alikuwa wapi siku hiyo na wala hainisaidii kujua maana this guy can be anywhere he wants at anytime. Ninachotaka ni uthibitisho kuwa JK hakuwepo hapo that day. Ukimpinga mwenzio lazima uje na uthibitisho otherwise.

kwa sasa wewe naye ni muongo kama wenzako hapa.
 
mwaka huu kweli.................

tunaanza kuhukumiana kwa majina, mwisho tutaanza kuhukumiana kwa pua na rangi kazi si ndogo spoila endelea kuspoil

mtumwitu,
hiyo ndiyo jamboForum. Forum hii inaongoza kwa mabandiko yenye chuki dhidi ya wenyeji wa kilimanjaro na wanyarwanda.
 

Ulichoulizwa ni evidence. Your evidence should stand alone regardless of what other guys are saying here.



Ya Ngurumo kumuandikia Mbowe papers na makala, hiyo habari alileta mtu mmoja anaitwa Chinga...and it made sense to me knowing Mbowe's level of intellect. So, what did you expect Ngurumo to say? Kwamba ni kweli anamuandikia? Geez!

Huwezi kum-quote chinga au anybody here kama huna hakika na source ya information zake. Hii ina-impune your intelligence

I find ridiculous hii idea kwamba tusi-challenge falsehood hapa JF kisa you may have unknowingly presented false information in the past.

inabidi utoe boriti kwenye jicho lako kabla ya kuongelea tongotongo za wenzako (quote from Jesus Christ)

And I find disturbing the comfort kwamba watu wanadanganya hapa JF na bado Forum ni credible. Well, up to a point.

wewe ni miongoni mwa watu waliodanganya hapa kwa hiyo usiweke double standard zako. Wewe umeikuta JF hapa na credibility yake itaendelea kuwa juu kwa sababu kama forum zote duniani, forum haiwi evaluated kutokana na post za watu- it is an open to all congress.....Geeeeeeeeeeeeeez
 
mugongoX2,
mimi na kichuguu tunakusubiri kule kwenye hoja ya uwanja wa ndege serengeti. kuna masuala labda unaweza kutufafanulia.
 
mwafrika wa kike,
Karibu sana kijiweni. Napenda style uliyoingia nayo. Uendelee na moto huo huo!
 
mwafrika wa kike,
Karibu sana kijiweni. Napenda style uliyoingia nayo. Uendelee na moto huo huo!

Asante Jasusi,

bado nawasubiri mugongo na CMB walete evidence kuback up claims zao otherwise forum itawahesabu wao kama waongo tu na waropokaji
 
Kwi kwi kwi kwii, ngoja nicheke kwa stahili za kule kwetu!!🙂

Na nyinyi semeni nikisema mie wanakuja juu

FD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…