Mugongo Mugongo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2006
- 223
- 8
Mugongo Mugongo,
Prove me wrong!.... kuwa JK hakwenda mtembelea marehemu akiwa hai ktk siku nilosema. Tanga kuna umbali gani au mwenyekiti UVCCM ndio kakupa hili pia?... muulize huyo mwandishi wako alimjua vipi marehemu!
Yes it matters soma tena maelezo yake ukizingatia kwamba Mkapanjia ndiye kiungo cha urafiki anaodai yeye.
Hii ni coincidence, au mchongoma alinukuu hapa kabla hajapost juzi!!?? Read between lines; lakini hizi posting zinashabihiana.
Swali la msingi linabaki kuwa where was Muhingo wakati "sakata la Amina" linaendelea?Hawa ni miongoni mwa watu wanaotafuta cheap popularity:kudandia kila jambo wanalodhani linaweza kurejesha majina yao machoni mwa wananchi.
Kuna sie tuliotoa michango yetu humu JF kwa kusapoti kampeni ya Mwanakijiji ilokwenda kwa jina la FREE AMINA NOW.At least sie tulifanya kitu flani kuliko hao walokuwa kimya,na wengine wakikemea kampeni hiyo,lakini sasa wanajitia kimbelembele cha kijifanya wana uchungu wa kifo cha Amina.Kuna jina moja tu kwa watu wa namna hiyo:makahaba wa fikra.
Mlalahoi,
Wakati Mwanakijiji analaani wenzake kuwa "walikuwa wapi?", yeye amechagua "timeline" ambayo ni convenient kwake...anasema "mlikuwa wapi wakati baba yake anamzuia kuongea na media". Na yeye tumuulize "ulikuwa wapi wakati anafukuzwa shule Tambaza", "ulikuwa wapi mwaka 2003-2004 wakati Shigongo anamuandama". Tukiendelea na huu upuuzi, tutafikia mahali kuulizana "ulikuwa wapi wakati tunamzika?".
That is too simple writing.....Unless you mean this is udaku, you need to use your head instead of heart.....
Was I supposed to be wherever Amina was? where were you at that time Mugongo? Where was Kikwete? Wakati Amina anafunga ndoa wewe ulikuwa wapi...?
Precisely, my point! Kwahiyo mlolongo wa maswali yako kwenye your earlier posting...kwamba "walikuwa wapi wakati anaweweseka", "walikuwa wapi wakati ananyamazishwa" n.k., nauona hauna maana kabisa. It is pointless finger-pointing. Na hata huyo Muhingo anayesema wote tumekufa naye anachemsha.
No, this is not 'Precisely the point," unless their friendidship ceased to exist. The writer is categorical in that their friendship continued all through until the end. Why din't he counsel accordingly? I would even venture to suggest, he (the writer) was in a better position to do the necessary as compared to Mkjj.
But I know, every issue in here reduces to "Chadema" (read Mkjj, et al) versus CCM (mugongox2, et al). This is what it has come to, or at least appears that way to some of us!
Nadhani tujitahidi kuwa tunachambua hoja bila kujali zimetolewa na nani; tuziangalie kwa sura yake badala ya kutumia sura ya mwandishi.