Mugumu huwa hatuweki chumvi kwenye chakula mpaka tumalize kuzika

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,437
Naaam,

Msiba ukitokea katika jamii za watu wa Mugumu, basi hapo msibani watu watakula chakula kisichokuwa na chumvi mpaka siku marehemu atakapohifadhiwa ndio tutarudi kwenye utaratibu wa kawaida.

Labda ikitokea mwili ukakaa mochwari miezi miwili, basi tutakula chakula miezi yote miwili bila chumvi mpaka siku tutakapozika.

Kwa hiyo siku mkisindikiza misiba upande huu mje mmejiandaa kisaikolojia kabisa.
 
Mhh kwahyo mnadhani sitakua na chumvi yangu mfukoni yaani nile pilau halina chumvi labda sio mimi..... Nilishakwenda msibani wenzangu wanakula kande mimi napiga pilau walichoka siku hiyo
😂😂😂😂🙌
 
Kwani marehem anakua aliula chumvi nyingi hadi akafariki!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom