Mubashara: Sahara media warudi hewani

Naskia TRA ili wa ambia walipe 2B kati 4.5B wanazo daiwa ili waendelee.

Pia naskia wamepata 5B kutoka nje. Kuna shirika linakuja kuwa mbia wa Sahara Media, hivyo tutarajie either ku uzwa au joint ownership ya SAHARA MEDIA. Walichelewa kufunguliwa kutokana na Clearence ya BOT ya hizo 5B...

JMP KAMATA WEZI
 
Naona namba mmeshaisoma sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
TCRA hawajawah kuwafungia SAHARA MEDIA

May Allah bless Me and You
 
TCRA hawajawah kuwafungia SAHARA MEDIA

May Allah bless Me and You
 
Ukaona au UKASKIA?

May Allah bless Me and You
 
Hii ilikua Radio yangu pendwa jana jioni niliwasikia mubashara! ila ndo Boss wa hii radio akome kiranga sisiemu si watu wa muchezo!
 

Sawa mkuu tutajitahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nilikuwa nainjoy sana kusikiliza bbc english service full time saivi nimetune in nakutana na wasawahili wanafanya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…