Mubashara: Sahara media warudi hewani

Naona na Channel ten wamesurrender kwa Bashite.. Wanazimwaga habari zake sio mchezo.
Msichanganye mambo! Star na RFA wanadaiwa kodi kama vile wanavyo daiwa ACCACIA sasa TRA waliweka madalali wakamate Mali ili deni lilipwe. Jee deni limelipwa au ndio siasa mpaka TRA?
Kama hawajalipwa na Sahara, jee si ni lazima TRA imlipe Dalali 10% ya deni halisi na hayo sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
 
Wewe unatakaje? Si mlikuwa mnasema humu kuwa akeshwe? Kurudi hewani mmeumia sana eh?
Mkuu hawa jamaa wamechanganyikiwa. Tangu LOWASA alete MABADILIKO kwenye chama hawajui hata washangilie nini wapinge nini. Wao vyote ni kupinga tu!
Akifungiwa wanakuwa upande wa mfungiwa, akifunguliwa wanahama na kuanza kulalamika imekuwaje kafunguliwa?
 

Kwani Utawala wa sheria anaoudai Tundu Lissu si ndo huo? au 10% sio takwa la kisheria?
 
Hata Mange Kimambi kasurrender.
Huyo ndo Ngosha!
Payuka , piga mbwembwe zako, Ruka na tiktaka zako,
Lakini mwisho
Utamtaka tu!
Unajuwa maana ya "kujitambua"? Basi hicho ndo ambacho wakikosa? Walonacho huweza kujenga hoja.
 
Naona wale jamaa wako hewani jee fedha zinazodaiwa na TRA Zimeshalipwa? Mbona TRA wako kimya na shughuli ndio hiyo imeanza? Au ulikuwa mkakati was aina Fulani?
Kwa hali ya kawaida tu kama unaishughulisha akili yako kituo kilikuwa kimefungwa na TRA sababu ya kodi sasa hivi ipo hewani what does your common sense tells you? May be you should consult TRA public relations office.
 
Hahahahaha aliechanhanyikiwa ni huyo anaeogopa kivuli,anaogopa hata MTU kwenda kuwashukuru wapiga kura tu,anaogopa na kusema hamna ruksa kufanya siasa,amefikia anazunguka mwenyewe nchi yote lkn bado anasema Mimi nampongeza mpinzani mwenye kufanya mambo ya ccm,sasa kwa akili yako wewe mpinzani anaweza Fanya mambo ya ccm,a support mikataba ya kuuza rasilimali zetu,apite makofi kwa kila jambo la kipuuzi huyo ni mpinzani au ccm B,huyo ndio alie changanyikiwa.
 
Kwa hali ya kawaida tu kama unaishughulisha akili yako kituo kilikuwa kimefungwa na TRA sababu ya kodi sasa hivi ipo hewani what does your common sense tells you? May be you should consult TRA public relations office.
Umemaliza?
 
Watu hamkosi cha kunanga duh..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mange Kimambi kasurrender.
Huyo ndo Ngosha!
Payuka , piga mbwembwe zako, Ruka na tiktaka zako,
Lakini mwisho
Utamtaka tu!
Utamtaka wewe na njaa zako kama hizo media, huyo mange Kimambi aliye surrender ni wa chato au wapi....au hiyo page unaona peke ako yako tu....[emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mmeumia sana sahara kurejea hewani mtakufa na vijiba vya roho mbaya watu tulikuwa tumekoswa radio ya kusikiliza vipindi moto moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…