Mwenyekiti wa PAC ameeleza vizuri sana, na amekiri kuwa mawaziri kujibu hoja zinawachanganya wananchi, wangesubiria makatibu wakuu wajibu kwenye kamati hiyo baada ya siku 21Mnazidi kutuchanganya tuacheni tupumzike.
Tumbili kafulila kununulia ni njaa imempeleka huko ITV kutengeneza Propaganda za kishamba shamba alizofundishwa na wanafuaka wa hizo pesa.David Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.
==============
Wasalaam wana jamvi
Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.
Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
MkuuImekuaje awe peke yake? Maana hicho kipindi (kipima joto) kwa kawaida kinakuwa na wachambuzi zaidi ya wawili, au wameona wakialika mwenye mawazo tofauti atazidi kuivua nguo sirikali? Wameamua kualika dodoki pekee.
Kamegewa hizo pesa 1.5 T kaamua kujitoa fahamu zote ni dharau kwa watanzania kwani Kitendo anachofanya moyoni anajua ni Dhambi kubwa.huyu jobless nae asituchanganye
Kafulila yupo tayari kula hata kinyesi kipindi akionyeshwa vicent ni kajitu Hatari sana hako katumbiliHakuna kitu kibaya kama kutumika.
Nmegundua wote wanatangulza tumbo mbele,,sio tawala wala wanaotaka kutawalaWanasiasa ni watu wenye Misimamo isiyo Na misimamo!
Nmegundua wote wanatangulza tumbo mbele,,sio tawala wala wanaotaka kutawalaWanasiasa ni watu wenye Misimamo isiyo Na misimamo!
Ww hujapigwa risas maana nmeskia kuna majambaz pwan yameuliwa?Ufipa watakuja kumwaga povu lao hapa kama kawaida..
Tumbili yupo tayari kuwa House boy kwa bibi yake Mtukufu kule kijijini chato anasaka cheo kwa bidii kubwa, ni hatari Nchi kuwatumia vilaza kama kafulila kuwahadaa watanzania ni Aibu na dharau kubwa, kafulila bado anaamini watanzania ni watu wajinga kama yeye na anaamini ujinga wake utakubalika ndiyo maana kajitoa fahamu na kuweka njaa mbele.Yaan mm nilipofungua TV yangu ile naweka tu ITV si ndo namuona huyo kafulila anaongea yaan niliswitch fastaaa kwenda steshen ingine coz amepoteza utashi wa kisiasa.yaan sasa ivi anatafuta tu uteuzi njaa kali mtaan aliko
Kitumbili chenyewe hakiaminiki kwa mkewe iweje watanzania wakiamini?Tumbili huyo mke wake mwenyewe alishamuona takataka anatupa sisi tu sasa
Haswaa na kanapenda kulialia sijui kanaidekea siasa.Kafulila yupo tayari kula hata kinyesi kipindi akionyeshwa vicent ni kajitu Hatari sana hako katumbili
Kafulila anasema wazi kuwa hoja ya 1.5 si moja ya hoja za CAG kwenye report ambazo ana hitaji majibu yake..
Anasema wazi kabisa...kuwa report ya CAG ina mchakato bado kwani bado atakaa na kamati ya PAC na LAC kudai majibu ya hoja zake alizo ziibuwa kwenye report na kama kutakuwa na hoja ya trillion 1.5 basi serikali itatoa majibu mbele.ya kamati ya PAC