DNA za Aina hii ni hatari kwa Taifa hazina tofauti na Ugonjwa wa kipindu pinduOohoo!!! Mkuu unaenda mbali sasa....!!
DNA za Aina hii ni hatari kwa Taifa hazina tofauti na Ugonjwa wa kipindu pinduOohoo!!! Mkuu unaenda mbali sasa....!!
Laana ya pesa za walipa kodi Trillion 1.5 imemvaa hatapata cheo ataishia kutumwa na Maliyamungu Bashite milele.Kafulila kachoka sana,anatia huruma,mpeni hata ukuu wa Wilaya.
Alivyokomaa na escrowDavid Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.
==============
Wasalaam wana jamvi
Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.
Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
Ataitwa wa upande wako peke yake aivue nguo serikali ufurahi zaidiImekuaje awe peke yake? Maana hicho kipindi (kipima joto) kwa kawaida kinakuwa na wachambuzi zaidi ya wawili, au wameona wakialika mwenye mawazo tofauti atazidi kuivua nguo sirikali? Wameamua kualika dodoki pekee.
Kama jinsi Zitto Kabwe alivyo?Wanasiasa ni watu wenye Misimamo isiyo Na misimamo!
Hakuna aliyemzodoa kimsingi Kafulila point yake ilikuwa ni tusubiri kamati ya PAC ikutane katika kikao chake na CAG ili kujadiliwa ile ripoti na kitakachojiri kamati ndio itatoa bayana kilichojiri kwenye ripoti ya CAG. hajakataa kama hela imepotea wala hajakubali kama ripoti ya CAG ipo sawa.David Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.
==============
Wasalaam wana jamvi
Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.
Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umenibariki sana kwa kauli yako. Mjadala ungekuwa mzuri angekuwepo na mwingine mwenye wazo tofauti na hili. Unajua watuvwengi hupenda kusikia kitu tofauti. Hapa kidogo mjadala haujatendewa HAKI.Kuna jambo hapa post #1 na #2 zinafanana. Au mmekusanywa kwenye chumba kimoja CAG wenu anawakaririsha?
Imedhihirisha Kapulila ana IQ kubwa kuliko Zitto. IQ ya mtu inaendana na kusimamia ukweli no matter what.
Zitto anajua kabisa anachoongea ni uongo lakini sababu kuna misukule mingi ya kuitikia uongo anaona atapata mileage ya kisiasa.
Lakini hiyo ni short lived na haiwezi pata support ya makundi mengi muhimu wakiwemo wasomi.
David Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.
==============
Wasalaam wana jamvi
Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.
Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
Wasalaam wana jamvi
Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.
Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
Nyie na kafulila mna matatizo,hakuna aliyesema pesa imeibiwa,acheni kupotosha,kinachosemwa ni kuwa hiyo 1.5 trillion matumizi yake hayajulikani,acheni kabisa kuwasingizia wapinzani.Anasema wazi kabisa kuwa hata kwenye conclusion na hoja ambazo zimeandikwa ambazo ana hitaji zijibiwe na serikali swala la 1.5 halipo na si hoja ambayo
Changanya na zako upate kuwachora vizuriMnazidi kutuchanganya tuacheni tupumzike.
Sio lazma ukubaliane nae...Jamani sasa ni wakati wa Tumbili kupewa hata u DC!....
Asijefia kwenye mic kwa kujikomba!
Hawa wafuasi wa Mange waliamua kudandia treni kwa mbele ili wapate cha kufichia aibu ya kaka wa Hai kuwazidi akili kwenye masuala ya fedha.Anasema wazi kabisa...kuwa report ya CAG ina mchakato bado kwani bado atakaa na kamati ya PAC na LAC kudai majibu ya hoja zake alizo ziibuwa kwenye report na kama kutakuwa na hoja ya trillion 1.5 basi serikali itatoa majibu mbele.ya kamati ya PAC