Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,679
- 167,641
Ana ubobezi gani!? Hana msimamo na haaminiki. Angeongea mkewe tungemuelewa.Wasalaam wana jamvi
Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.
Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
The same tumbili want to confuse us with monkey!!! Monkey remains monkey even when near people in zooo.Huyo ni another Musiba
Wa kwako tuuone.Uchumi wa ZK ni wa madesa
Hakuna mtu wa kumwangalia huyo chumia tumboDavid Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.
==============
Wasalaam wana jamvi
Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.
Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
Kama Kafulila anaitwa mbobezi, basi beno mbobezi litakuwa limebadilishwa maana.David Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.
==============
Wasalaam wana jamvi
Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.
Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
Hawachanganyi mtu watanzania wanajua Ukweli pesa zao trillion 1.5 zimepigwa na Wajanja wachache huko CCM, miaka 55 ya kuwadanganya watanzania imetosha kuchanganyana sasa watanzania hawachanganywi.Mnazidi kutuchanganya tuacheni tupumzike.