MUBASHARA: David Kafulila ndani ya ITV, Awazodoa wapinzani

David Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.

==============

Wasalaam wana jamvi

Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.

Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
tumbili huko hakuna ndizi mbivu achia ngazi
 
Musiba wawe wengi kukomboa fikra za watanzania zinazo danganywa na wa nasiasa uchwara
 
Pole pole na Kafulila(tumbili) naona wamepewa kitengo cha kuzima tr1.51

Ccm ya zamani ilikua inahoji,lakini ccm ya skuizi ipo kimyaaaaaa

Wananchi wanataka kujua zimepelekwa wapi?

Huu si mda wa blaaa blaa
Hii ccm mpya ni ya majizi yaliyobobea na makubwa makubwa. Hii sio ile sisem ya akina Kinana iliyokuwa na wizi ila wakichanganya na huruma kidogo kwa wanyonge.
Hii ya sasa inapora chakula cha mtoto na inampiga rungu la kichwa ili azimie asiweze kabisa kulia njaa.
Inauma sana!!
 
Back
Top Bottom