MUBASHARA: David Kafulila ndani ya ITV, Awazodoa wapinzani

MUBASHARA: David Kafulila ndani ya ITV, Awazodoa wapinzani

Kwa ufafanuzi WA kafulila hakika anastahili kuwa waziri, ni suala la muda tu kafulila utakuwa mtu mkubwa sana nchi hii
 
Pole pole na Kafulila(tumbili) naona wamepewa kitengo cha kuzima tr1.51

Ccm ya zamani ilikua inahoji,lakini ccm ya skuizi ipo kimyaaaaaa

Wananchi wanataka kujua zimepelekwa wapi?

Huu si mda wa blaaa blaa
Wanapoteza mda bure kwani wananchi wanajua pesa isiyojulikana imejulikana ilitumika kuwanunua wabunge, madiwani, kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, kununua, kukomboa ndege kienyeji, kujenga kiwanja cha ndege chato na matumizi mengi ya hovyo hovyo ikiwemo kuwabambikia kesi Wapinzani na kuwalipa kafulila, Cyprian msiba, polepole kutengeneza Propaganda mbalimbali.
 
Kwa ufafanuzi WA kafulila hakika anastahili kuwa waziri, ni suala la muda tu kafulila utakuwa mtu mkubwa sana nchi hii
Hakuna ufafanuzi wowote hapo ni wajinga wachache pekee wanaweza kukaa wanaamini ujinga wa kafulila, hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi, njaa mbaya kaamua kujitoa fahamu cha ajabu wapo CCM vilaza wamesadiki Propaganda za Tumbili kafulila.
 
Anasema wazi kabisa...kuwa report ya CAG ina mchakato bado kwani bado atakaa na kamati ya PAC na LAC kudai majibu ya hoja zake alizo ziibuwa kwenye report na kama kutakuwa na hoja ya trillion 1.5 basi serikali itatoa majibu mbele.ya kamati ya PAC
mmeajiriwa kumsifia magu tu,kwenu magu ni mungu huwa hakosei,endeleeni kumwabudu tutaona mwisho wenu,ndo maana kafulila kasusiwa kipindi.
 
Hahaha this is tz.Amabae hana hata certificate ya masomo ya mahesabu hana anachoweza kuhoji kwani ni issue ya kitaaruma zaid .
 
Anasema kuwa mawaziri hawajavunja sheria yeyote kumjibu Zitto na wenzie
Umegeuka kuwa extension channel mbona unatumia nguvu nyingi kubadili 1.5 tirion hazipigwa mmchelewa ilo limeshashika jinsi mnavyotapatapa ndio mnalipa promo, its too late the tren is on the way
 
Kafulila ni kada wa CCM, yupo kutetea matumizi mabaya yasiyofuata utaratibu, yanayofanywa na mic checker Fid Q
Lazima atetee coz ameambiwa katika zile ela alizonunuliwa ndio hizo la sivyo arudishe wazipeleke hazina
 
David Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.

==============

Wasalaam wana jamvi

Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.

Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
Nilijua tu mtakimbilia kuanzisha thread. What's so special with his yapping? Mbona yupo peke yake tu na mtangazaji?
 
Anasema wazi kabisa kuwa report ya CAG haijafika mwisho kabisa...
Leta cv ya uyo tumbili na tumuamin kama nani kwa uzoefu gani au elimu gani CAG kashamaliza nendeni mkaonge PAC nakuwatisha wasihoji ila limebuma we need our 1.5
 
Tumbili kabla ya kujitoa ufahamu ili kuganga njaa.



David Kafulila anahojiwa mda huu ITV katika kipindi cha Kipima joto.

==============

Wasalaam wana jamvi

Mbobezi na mchambuzi wa mambo ya kiuchumi na kisiasa David Kafulila yuko live ITV anatoa shule kuhusu report ya CAG.

Kafulila ameanza kusema kuwa yeye toka mwanzo alijua kuwa wanao dai kuwa 1.5 trillion zimeibiwa walikuwa waongo kwani si kweli kabisa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom