MUALIKO: The JF 'Rock City Wing'

MUALIKO: The JF 'Rock City Wing'

Je inabidi kutajana majina yanayotumika humu ndani jf au?
Najua ipo poa majina ya ukweli kujuana ila kumachi na la humu ndio nataka elewa.
Thanks
 
Saa kumi kamili, majira ya Jumatano, siku ya Wafanyakazi, ninamuomba Mungu anijaalie afya na uzima, naahidi kuwa katika kiota hicho cha Yung Long Chinese Restaurant kama tulivyoafikiana, naamini tutakuwa sote kwa wale wote wanaJF wa Mwanza, kwa sababu Mwanza yetu haina visingizio vya msongamano wala kukosekana kwa usafiri, pale hata kwa mguu unajongea tu! Ahsanteni, natumai kukutana na wadau wa kutosha!
 
Mpangowenu hauta kamilika bira kumshilikisha babuenu MAPOLOMOKO mnajua matambiko ya kisukuma nyie, na nani alibadili jina la kapilipondo kuwa capr point?. watu8 uje na shitinde shashikome siwezikuhuzuria kama viazi na kikome kama havipo
 
Saa kumi kamili, majira ya Jumatano, siku ya Wafanyakazi, ninamuomba Mungu anijaalie afya na uzima, naahidi kuwa katika kiota hicho cha Yung Long Chinese Restaurant kama tulivyoafikiana, naamini tutakuwa sote kwa wale wote wanaJF wa Mwanza, kwa sababu Mwanza yetu haina visingizio vya msongamano wala kukosekana kwa usafiri, pale hata kwa mguu unajongea tu! Ahsanteni, natumai kukutana na wadau wa kutosha!

Karibu sana mkuu Kisusi Mohammed
 
Last edited by a moderator:
Habari wadau....

Kama ambavyo Mkuu Rock City alivyotoa mwaliko hapo awali, nami napenda kusisitiza kuwa ratiba iko pale pale na hakuna mabadiliko yeyote. Muda pia ni kuanzua saa kumi kamili jioni siku ya kesho tarehe 01-05-2013, eneo ni Yung Long Chinese Restaurant (Rock Beach)

Come One, Come All......

JF Rock City Wing

"Pamoja Tutaweza"
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Karibuni kwa ajili ya kikao chetu tulichopanga kukifanya leo, mimi binafsi tayari nipo eneo hili na nawakaribisheni wadau wa Mwanza juu ya uanzishwaji wa wing yetu hii. Muda mfupi ujao tunataraji kukutana na kuanza kikao chetu cha awali kabisa. Muitikio ndio mafanikio yetu.

Wasalaam,
 
Good Move!
Wishing you success!
Msisahau kutoa mlisho-nyuma!
 
Kila la kheri...
Waombeni Wachina wawatengenezee "jiaozi" kama kichangamsha mdomo.
 
Tutatambulisha kwa ID zetu za humu JF.....
Mkuu hapo ndio ninapotishika,mfano mie ni figure inayofahamika sana hapa Mwanza maana nina nafasi ya juu kiutendaji ndani ya vyombo vya umma,ila kila siku naichana serikali na chama chao cha Mapinduzi. Memba wengine tutakao kutana hapo tunatofautiana itikadi,hivyo sio hatari kwangu kuwa kumbe Chakaza ni ....... Ambaye kila siku anaichana CCM na serikali inapokosea?
Kutambuana kwa ID za JF kwa watu tutakao kuwa pengine tunafahamiana naiona kama haijakaa sawa. Ni mawazo yangu tuu
 
Napendekeza si lazima kujitaja ID....kufika tu inatosha kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom