Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Haya museeAsante tutakuja...aaah sorry watakuja
Haya museeAsante tutakuja...aaah sorry watakuja
Hahahahahaaaa we ram hujui JF Arusha ndio HQ kwa kila kitu?
Hata tukija sisi ndio tutawafunza lol
Copy kwa PakaJimmy Mzee wa Rula Arushaone na Filipo
Sasa ram hiyo misemo yako ni ya zamani na mzee ni mzee tu.Kutangulia c kufika Erick52,na wingi wa mvi kichwani sio wingi wa busara ati, tupeni miezi kadhaa tu mtakuja mjionee mambo ya rock city, chezea mjini wenye mawe kila kona
Sasa ram hiyo misemo yako ni ya zamani na mzee ni mzee tu.
Mwambie charminglady kwa nilivyomiss jiji lenu plus you members lazma ntakuja tu tena naambatana na Bishanga mbeba mabegi wangu.
Hilo ni kwanza.....la pili lipi?
Sijawahi kuona hii Topic ndio leo au kwa vile niko huku kijijini napalilia mpunga..
Hope get together ilikuwa powah..
next time muwe mnaniibox na mie uzee jamani