napendekeza si lazima kujitaja id....kufika tu inatosha kwanza
Kila la kheri...
Waombeni Wachina wawatengenezee "jiaozi" kama kichangamsha mdomo.
Hiyo wingi itanihusu sana siku kadhaa zijazo ngoja nimalize mishe mjini.
Shilandilo shekai,nakumwioka!
Karibu sana mkuu!!!
pongezi nyingi kikao chema
C6 hajakupa taarifa kuwa nimeenda kahama?
Ktk jf rock city wing mniweke namimi,natumai tutakuwa wote next time.
Naomba radhi kwa usumbufu
Hongereni sana wana Rocky City
One day karibuni Arusha
Hongereni sana wana Rocky City
One day karibuni Arusha
Hahahahahaaaa we ram hujui JF Arusha ndio HQ kwa kila kitu?ahsante, but tutawaalika kwanza mje mwanza kwa ajili ya ziara ya mafunzo....