Izz
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 750
- 322
Mh, usalama wetu ukoje? Au hatutajitambulisha Id zetu? Maana TISS wanawafuatilia sana wana Jf sasa hivi?.....
Acha uoga wewe!.....wataka mambo halafu huyawezi!
Mh, usalama wetu ukoje? Au hatutajitambulisha Id zetu? Maana TISS wanawafuatilia sana wana Jf sasa hivi?.....
charminglady tupooooo!!!
charminglady utanipa updates za majeruhi mkienda bugando. pia huyu Elizabeth Dominic kafichwa wapi maana mh...
Jaman kikao chema mashemeji na mawifi zangu.
CC: Mwenyekiti wa muda charminglady
Wazo zuri la kuwa na jumuiya!....US wameendelea kwa sababu ya umoja! Hongereni
Wadau wa JF Rock City Wing wahini eneo husika kwa maendeleo yenu.
Mpaka sasa waliofika ni wachache, fikeni mapema ili muwahi kwenye mambo mengine.
Mimi Arushaone ndiye mlezi wa JF ROCK CITY WING.
mkuu, imenibidi nijikaze walau ni log in niweze kutoa taarifa. Nilipenda sana na nilikua nimepania nisikosekane kikao cha leo bt am real very pain kutokuwepo. Ninaumwa na nimeugulia mkoa wa jirani (musoma) ikabidi nilazwe. Ila ntaomba unifikishie zangu salamu kwa watakao hudhuria na nitaomba kupewa updates japo hata kwa PM. My smile to Charminglady, Elizabet, C6 et al.
Amina na shukrani sana. Nipe mrejesho wa kikao na maudhurio kiujumla.Pole sana mkuu Mwenyezi Mungu akuponye, kikao ndio kimeisha sasa.Karibu kikao kijacho!
Wadau wa JF Rock City Wing wahini eneo husika kwa maendeleo yenu.
Mpaka sasa waliofika ni wachache, fikeni mapema ili muwahi kwenye mambo mengine.
Mimi Arushaone ndiye mlezi wa JF ROCK CITY WING.
acha kujipachika cheo si champ.
Sos mlimani ochestra
my cousin charminglady mpe pole mkuu melo Mungu atamponya