CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari za mihangaiko wana JF.... Poleni kwa majukumu ya siku ya leo.
Kwanza napenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wana JF waliojumuika nasi katika kikao kipya na cha kwanza cha JF ROCK CITY WING.
Pili napenda kutoa mualiko wa kikao cha pili cha Wing yetu kitakachofanyika tarehe 19/05/2013 siku ya jumapili kuanzia saa 10 kamili jioni. Mahali ni YUNG LONG CHINESE RESTAURANT {formely ROCK BEACH}.
Mwisho nawakaribisheni nyote...
Ndimi
Mwenyikiti wa muda.... charminglady
"PAMOJA Tunaweza"
Nakala kwa: Home First, ram, Rock City, Mzee Gedeli, Elizabeth Dominick, ThinkPad na wadau wote wa Rock City na viunga vyake.
UPDATES
Wapendwa wadau wa JF Rock City Wing, tumepokea kwa mshtuko juu ya taarifa za mmoja wa wamiliki wa JF ndugu Maxence Melo kupatwa na ajali eneo la Nzega jioni hii. Majeruhi wote wamekimbizwa Bugando hospital hapa jijini Mwanza. Hivyo basi, tukiwa ni wanaWING na ambao tarehe 19.05.2013 tutakutana jioni kwa kikao chetu cha kawaida...baada ya kikao tutaomba (kwa wenye wasaa) tukawajulie hali majeruhi pale Bugando Hospital. Ahsanteni!

Last edited by a moderator: