Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

Moja ya jeshi lenye maigizo mengi ambayo upande wa pili ni VIDONDA kwa watendewa na familia zao.
 
Kama mbowe alikosea TUSEME UKWELI alikosea
Unaweza kuniambia urafiki wa mbowe na urio ulikuwa unahusu Nini?
zimekutwa calls,sms na miamala ya simu ya mbowe kwenye simu ya urio unaweza kutolea ufafanuzi?
"UWE NA AKILI HURU"
JIFUNZE KUHOJI
Akili yako ni ndogo wewe. Ulichagua jina sahihi kabisa mjingamimi

Hizo calls, sms na miamala ya pesa kama ulifuatilia dodoso za mahakamani na kuwa na uelewa, huwezi kuwa na hoja za kiwango cha chini hivi. Badili jina ndugu mjingamimi unatia aibu.
 
Mimi sina akili za kushikiwa Kama wewe.
labda uje useme hayo mawasiliano waliyatengeneza.
Na hata hivyo mbowe alikuwa na kesi ya kujibu ili atolee maelezo hivyo vitu.
Bahati nzuri akasoma upepo akashtuka.
Kama sio urafiki wa mbowe na urio mbowe asingeingia matatizo.
kuwa na akili Huru

Hivi ni wewe huyu "Mjingawewe"tunayekusoma humu jf, kwamba leo ndipo umejua kuwa hawa polisi ni wauaji, watesaji na wabambikiaji wa Kesi kwa watu wasio na hatia?

Uliwapongeza Sana Kingai na maafande wenzake kwa kuwatesa makomandoo na kutunga Kesi za kubambikia watu, leo eti na wewe una mponda Siro uliye mpongeza kwa kudai kuwa anao ushahidi wa kutosha wa ugaidi dhidi ya Mbowe.

Ama kweli leo nimeamini kuwa shetani hana hata chembe ya aibu na mara zote ibilisi hujigeuzageuza kama kinyonga.
Hata hivyo maadamu umetubu karibu katika wigo wa nuru na haki.
Walipoona Hamza kanyamazisha wakajua ni rahisi kumnyamazisha mtu na kuchukua chake.
Siro alifuga paka Sasa kageuka mbwa mwitu
 
Ukweli gani ambao umeonekana Hadi dpp akaamua kuifuta Kesi, tupe huo ukweli, Je wewe na dpp / mshitaki nani mkweli? Kwamba wewe ndiye unajua "calls" zilikutwa na nini kuliko maafisa mashahidi kutoka tigo waliothibitisha waziwazi hadharani kwamba hakukuwa na chochote zaidi ya miamala ya fedha. Ujinga wako unaelekea kuwa upumbavu. Badilika.
Kama mbowe alikosea TUSEME UKWELI alikosea
Unaweza kuniambia urafiki wa mbowe na urio ulikuwa unahusu Nini?
zimekutwa calls,sms na miamala ya simu ya mbowe kwenye simu ya urio unaweza kutolea ufafanuzi?
"UWE NA AKILI HURU"
JIFUNZE KUHOJI
 
Siro, Kingai, Swila, Mahita Jr, et Al wanatakiwa kushitakiwa Kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma pamoja na uhujumu uchumi ( yaani pesa za kuendeshea kesi ya Mbowe)!
Waajiri wao wakifanya haya, jamii itapumua na kinyume chake jamii haitawaelewa Bali itawalable Kama serikali yenye double standard katika kutenda kazi!
 
kwani kesi ya mbowe imeishaje?
Kama alijichanya mwenyewe ulitaka nimtetee vipi?
unaanza vipi kumtafuta mwanajeshi akutafutie walinzi?
Mbowe alijua urio atawatoa wapi hao walinzi?
KATAA UNYUMBU

Mimi sina akili za kushikiwa Kama wewe.
labda uje useme hayo mawasiliano waliyatengeneza.
Na hata hivyo mbowe alikuwa na kesi ya kujibu ili atolee maelezo hivyo vitu.
Bahati nzuri akasoma upepo akashtuka.
Kama sio urafiki wa mbowe na urio mbowe asingeingia matatizo.
kuwa na akili Huru
Siyo kwamba hauna akili ya kushikiwa tu lakini pia hauna hata kidogo ndiyo maana unapojadili suala lolote unatumia mihemuko ya ushabiki unaokufanya kila mwenye akili timamu akushangae.

Maana ulikuwa unamsifia siro kwa kukuaminisha kwamba ana ushahidi wa ugaidi dhidi ya Mbowe lakini dunia nzima ya wenye akili hawakuuona huo ushahidi ila wewe usiye na akili ndiye uliyeuona japo hata hauwezi kuuonesha.

Sasa hapa utasema unazo? Maana wote wenye akili na waliosoma vizuri wameamua kuweka mpira kwapani wewe tu umebaki na ujinga wako.
 
Kwanini unataka ujione wewe ndo swhihi kuliko Mimi?
Yaani unachokiamini wewe ndo sahihi ila Mimi nakossea?
Heshimu mawazo ya mtu.
ACHA UPUMBAVU.
Sijakulazimisha uamini msimamo wangu kuhusu mbowe na wewe usinilazimishe.
Mimi naamini mbowe kuna sehemu alikosea.
Sasa Kama unaona mbowe hajakosea hizo ni akili zako
Sasa usinilazimishe niwe na akili Kama zako.wewe sio mungu useme umekamilika na mawazo yako ni sahihi

Back
Top Bottom