hao wananchi na huyo bibi wakapimwe akili
ndo uwezo wao wa kufikiri ulipoishia?
Kwamba huyo bibi anaweza kuzuia gesi isisafirishwe?
Kwa nini asingezuia gesi isivumbuliwe
serikali ingetumia wanauslama kutaka kujua majina ya wezi wa pesa zetu walizoficha uswiss kwanjia kama hii, basi tungefika mbali. lakini kutumia njia hii eti kumshawishi bb aruhusu gesi ije mzizima, ni bado wakomunisti!!!!
Liwalo naliwe!
Ni serikali legelege tu ndiyo inayoweza kusalimu kwa mkwara mbuzi kama huu!Lazima gesi iwaidishe watanzania wote bila kujali gesi inatoka wapi!Amechinjwa...!! Hapo serikali lazima isalimu amri.
Hadi natamani kuwepo eneo la tukio!! Kwani pamoja na kuchinjwa huyo mjumbe wa mafisadi ningemcharaza na bakora pia, hata kama keshakufa!!! CCM inachowafanyia watanzania ni ushetani wa hali ya juu!!!
Suala si kwamba umeme unapita!!!hata Askofu kakobe alitishia umeme wa nguzo za Tanesco atauzuia kupita kwa maombi kanisani kwani lakini bado ukapita
......ambaye pia ni Binamu yake na "Mzee Manoni" wa "Nitakufa Mara Ya Pili"......Lazima awe na undugu na Kibibi Gula wa "Usiku wa Manane" akilindwa na kina mzee Ole.