Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

Mi siupendi mziki wa dmond, siupendi mziki wa kizazi kipya kwa ujumla wake. Ila lolote lenye maslahi kwa taifa lifanyike tu, tumeshajitumbukiza kwenye uchumi wa kibepari, tena wengi pasi hata kuujua tunaushadadadia sana, lolote lifanyike. Hata wizi ufundishwe mashuleni, kwangu ubinafsi ni wizi tu wa akili.
 
medical research or theory research mkuu?
 
Tununue microphone za kutosha tu vijana wawe wanakuja kufanyia akapera shamba la bibi..... Tuuze mipira yote na jezi wapewe madansa!!!
 
hata wew ukifanya vizur utapewa bendera kama unaenda nje ili dunia ijue kwamba wew ni wa tanzania
 
hata wew ukifanya vizur utapewa bendera kama unaenda nje ili dunia ijue kwamba wew ni wa tanzania
kutekeleza mkataba wangu wa kazi sio kuiwakilisha nchi.usipotoshe facts.
 
kutekeleza mkataba wangu wa kazi sio kuiwakilisha nchi.usipotoshe facts.
mkuu sas mkataba wako wa kazi si una documents zinazoonesha wew ni mtanzania na bosi wako anajua ila ukiperform kwenye mkusanyiko wa watu wengi hata ukitoa hotoba UN unakuwa na bendera na kukutambulisha wew ni mtanzania...nahisi huelewi nin maana ya kupewa bendera.
 
Ricky Martin si mfaransa ni M-Puerto Rico
 
unapeleka mada kusiko! mimi namchallenge waziri wewe una justfy MONDI kutuwakilisha,tutaelewana vipi? event ni ya mpira.
 

Hivi nani mwenye haki ya kupewa bendera ya Taifa? Ni wanamichezo peke yake? Wasanii wengine kama Diamond sio sehemu ya Taifa na wala hawana haki ya kupeperusha bendera ya Tanzania? Mpira wa miguu tushindwe, fani nyingine za sanaa nazo tushindwe? Kwanini tunakuwa na mawazo finyu kiasi hiki?
 
Ni ujinga maana diamond hata zaidi 15 minutes, sijui sasa hiyo bendera atajifunga huo ni mwendelezo wa mkurupuko na u mwendokasi
 
soma mada na michango yote badala ya kusoma title ukaongea! wewe ndio una mawazo finyu kwakuwa ulichoandikwa hapo kimeshajibiwa
 
Kwenye soka na riadha tumechemka sasa kuna ubaya gani akipewa bendera diamond akatuwakilishe katika nyanja ya burudani.
 
Ni sawa kabisa mbagala kupewa iyo bendera maana ni heri hata amepata huo mualiko akaburudishe uko mana vinginevyo tungekua bure tu.Kama nchi hii na ukubwa wote huu na watu kibao pamoja na kile tunachoita amani na utulivu tunashindwa kua na timu za taifa ata zakuleta ushindan kwa nchi za ukanda huu wa afrika masharik nin tutegemee kama sio kuwakilishwa na burudani ya muzik wa bongo fleva maana ata ule mzik wa dansi wa rika zote nao nikama umekufa kimya kimya.
 
Your kids are Great Thinkers!!

Wakuze huku wakisoma vitabu.Walichokiuliza kiina-sound kabisa.
 
Thats defence mechanism lakini ki ukweli nepi na wenzake ftt wanapaswa kuwajibika kwa kutufanya kichwa cha mwndawazmu..
 
Waziri hili swala watz wengi limewakwaza itabidi ujibu tuhuma labda kuna sababu anaweza sema watu wakakuelewa km ukikaa kimya utakuwa umekurupuka kweli mkuu
 
Waziri wa utamaduni na michezo, mpira si jadi yetu waziri afanye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…